gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 759
- 1,250
Mtume Muhammad (SAW) alitokewa na njozi alipokuwa pangoni mnamo karne ya 7 A.D. Njozi hiyo ilimtaka kwamba aanzishe dini mpya ya kiislamu. Ikumbukwe kwamba kwa wakati huo dini ya kikristo ilikuwa imesha shamiri mahali kwingi ulimwenguni ikiwemo Asia na Ulaya Mashariki.
Kwakuwa dini ya Kikristo na Kiyahudi zilikuwa zimesha shamiri, ilibidi itumike mbinu ya ziada ili kuweza kuwabadilisha wale wakristo na wayahudi kuugeukia uislamu. Kwa kipindi hicho mataifa mengi yanayoitwa ya kiislamu leo hii yalikuwa ni ya kikristo, mfano Misri, Algeria na Uturuki.
Uislamu uliingia kwenye nchi Takatifu ya Israel na kuteka na kutawala kwa sheria ya dini. Waandishi wa Kurani walitumia mitume na manabii wale wale waliokuwa wa kiyahudi na kubadili historia yake na kusema kuwa walikuwa ni waislamu wakati hapo kabla dini hiyo haikuwahi kuwepo. Walianzisha sheria ngumu kwa Wayahudi wazawa zilizo walazimisha ama wahame nchi yao au waugeukie uislamu.
Kwa sheria ya kiislamu, endapo wangeamua kuugeukia uislamu wasingekuwa na chaguo jingine la kurudi nyuma kwa maana sheria ingewataka kuuwawa. Chini ya utawala wa kiislamu, ilishuhudia nchi ya Ugiriki ya kale ikibadilishwa jina na kuitwa Uturuki na mji wa Costantinople kuitwa Istanbul.
Hekalu la Suleman.
Baada ya kuvunjwa kwa hekalu hilo na wavamizi wa Kirumi, waarabu walilijenga upya na kisha kuligeuza kuwa msikiti, ndio msikiti wa Al Aqsa ambao ni eneo takatifu la kiislamu kwa sasa. Wakidanganya watu kwamba eneo hilo lilikuwa ni milki ya kiislamu, haikuwa hivyo bali milki ya Wayahudi.
Kupitia vita ya Mslalaba (Krusade) ambapo wakristo walijaribu kukomboa mji wa Yerusalemu kutoka kwenye utawala wa kiislamu, ilisababisha uvujaji wa damu mkubwa na watu wengi kupoteza maisha. Waisraeli wengi walikimbia nchi yao kwani kamwe hawakuwa tayari kuiacha imani yao ya Kiyahudi na kujiunga na Uislamu, ndipo likazaliwa taifa la Palestina ambalo lilitengenezwa ili kuua historia ya Kiyahudi.
Historia ya kweli ya Kiyahudi inapatikana kwenye vitabu vya Torati na Biblia na vitabu vyote vya kale ambavyo haviku chakachuliwa, kamwe huwezi kuipata historia hiyo kwenye vitabu vya kiislamu. Mwaka 1994 kulitokea mauaji kwenye hekalu alilozikwa Ibrahimu ambapo myahudi mmoja aliwafyatulia risasi waislamu waliokuwa wakisali hapo kwani waligeuza hekalu hilo kuwa msikiti na kuwazuia wayahudi kufanya ibada zao, jambo ambalo wayahudi walipinga mpaka leo.
Tangu kuanzishwa kwa taifa la Israeli mwaka 1948 kumekuwa na vita visivyoisha. Baada ya nchi hiyo kugawanywa na kupatikana nchi mbili bado raia wa Palestina wanakataa kukubali, wameanzisha vikundi vya kigaidi kwa lengo la kukomboa ardhi yao na hapo mamlaka ya Israeli wanaendelea kujilinda kwa mbinu mbalimbali za kivita kila iitwapo leo.