DC Hapi kuunguruma Star TVkesho saa 1:30 asubuhi

DC Hapi kuunguruma Star TVkesho saa 1:30 asubuhi

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
899
Reaction score
999
Ndugu Wapenzi na wapenda maendeleo Kesho saa 1:30 asubuhi Mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni Ally Salum Hapi atakua Star TV live katika kipindi cha Kujadili demokrasia na utawala bora unaojali jamii.
Nawaalika wote kufatilia kipindi hicho hapo kesho
Aksanteni Na usiku mwema
 
Kwa sasa wamevibana vyombo vya hbr wamebaki wanatamba wao tu ...ukiwaita wapinzani kwenye kipindi cha tv ..bc andaa milioni 10 ...hahahaaaa hongereni
 
Jamaa kafungua I'd mpya kwa ajili ya kuwaambia watu kwamba atakuwa live star tv!!!!!! Vyeo via u-DC ni vya kichama, havina faida zaidi ya kufilisi kodi za wananchi.
 
Back
Top Bottom