Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni jukumu lako wewe Mwananchi kujiandikisha ili upate haki yako ya Kikatiba ya kuchaguliwa au kuchagua.