Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

Ally Kamwe akataa uchawa; Aziheshimisha taasisi za kiraia mbele ya serikali

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,517
Reaction score
2,439
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:

1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje !

2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe 20 na mchele na matunda na maji), hela ambayo kiongozi aliahidi lakini kakiri hakutimiza safari iliyopita, milioni 50

3. Uteuzi wa Rais una makosa. Hatumtaki !

4.Tuna kundi au taasisi kubwa isiyo ya kiserikali ambay kiongozi akituchokonoa, akapapalika, sindano itamvunjikia

5. Huyu kiongozi hajawahi kupokelewa na watu akifika mahala. Mimi nina nyomi la kunipoea mkoani kwake mwenyeww. Ana wivu !


===================

Tukiacha kujipendekwza kwa serikali, kutegemea kila kitu kiwe fadhila ya serikali, tunaweza kuanza kujiheshimisha mbele ya serikali

Kulala ndani ndio nini. Julius Nyerere alilala ndani mwaka 1954. Kwani nani huwa analala nje ?


View: https://youtu.be/RBJTKi9NBds?si=qwDpBGhQxV390ejo
 
Back
Top Bottom