Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

Mambo ya ajabu kabisa haya ktk nchi inyodai ni ya demokrasia.

CCM siasa za majukwaa na hoja zimewashinda, mmebaki kutumia ugaidi na vyombi vya dola kuendelea kutawala.

ila hakika nguvu hii hii mnayotumia kutawala kwa mabavu na uonevu, ndio bomu litakalowang'oa na kuwfanya chama cha upinzani 2015
 
mambo ya ajabu kabisa haya ktk nchi inyodai ni ya demokrasia.

Ccm siasa za majukwaa na hoja zimewashinda, mmebaki kutumia ugaidi na vyombi vya dola kuendelea kutawala.

Ila hakika nguvu hii hii mnayotumia kutawala kwa mabavu na uonevu, ndio bomu litakalowang'oa na kuwfanya chama cha upinzani 2015
hahaa, mkuu mbona unaongea kinyume? Mimi siyo shabiki wa chama chote cha siasa ila uliyoyaandika ni ya chadema
 
Poleni viongozi wa CDM. Yours is a redemptive suffering.

Ni miaka mingi ccm inajiongezea kuchukiwa kutokana na vitendo vyao vya kijambazi.

Kwenye orodha ya makosa ya jinai Tanzania liko linaloitwa "kuingilia mbio za mwenge wa Uhuru"?


CCM is a den if vipers. I said that before and I will say it again.

Tusiweke dharau ktk utamaduni wetu . Nadhani ni sahihi hatua kali zikachukuliwa kwa yeyoye anaedharau Mwenge , Bendera nk kwani ni alama za utaifa wetu.
Mh. Kikwete sasa amethibitisha kua Democrasia hatuielewi .. Sasa tunapinga kila kitu na tunataka uhuru wa kila kitu hata Gongo iruhusiwe ...


Hii nadhani ndiyo hali halisi upande wa upinzani . Tatizo kubwa sana kwa upande wa Chadema ni 'Staha' viongozi wake wengi wanaharibu hoja zao za msingi kwa kuweka ubabe na dharau . Mfano , Lisu alitoa mawazo mazuri sana kwenye Bmk lkn akamalizia hoja zake kwa kumtusi Baba wa Taifa na Maneno mengi ya dharau na ubabe , akalinyima bunge fursa ya kujadili yale mawazo yake na kulipa bunge kazi kubwa ya kujitoa ktk uhusika wa kumtusi baba wa Taifa. sisi tulio wapenzi wa mwalimu 'Baba wa Taifa' tunaona 'Hila' tu ktk hoja na mawazo ya Ukawa hasa Chadema.
Nadhani hata mh Lipumba ameona alivyokosea kuiga stail ya Chadema. Mh Mbatia nae Hua Ana utaratibu wake ambao Mara zote unaeleweka kua ni wa 'maslahi' ya Taifa lkn Ukawa chini ya sera za 'Kibabe' na dharau wote mmejikuta hamweleweki!
 
Mwenge ungeweza kuheshimika kama ccm haingeupora. Sasa umekuwa unahusishwa na uccm na sio utaifa.

Hata kama ingekuwa mtu kadharau mwenge, ni ccm ndio wamfukuze kwa gari na kuamuru akamatwe? Kuna sheria inayosema kudharau mwenge ni kosa la jinai?

Nchi inaendeshwa kijinga, na viongozi wajinga sana na waliolewa madaraka.

I repeat, ccm is a den of vipers.
 
chadema umaarufu wenu umebaki kwenye matukio kama hayo, wananchi wameshawapuuza
Wananchi hatujawapuuza chadema, tafadhali tunaomba usitusemee. Tabia hizi hata wabunge wenu wanazo sana. Utasikia wakisema eti 'wananchi wa jimboni kwangu wamenituma'' wakati jimboni
ana miaka miwili hajakanyaga. Ongea na nafsi yako na si wananchi, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe mbele za Mungu.
 
mimi hili gari tuu bwana!! linauzwa ngapi vile !!
 

Attachments

  • 1408161393105.jpg
    1408161393105.jpg
    51.2 KB · Views: 224
Hasira zetu za kwanza wana chdm iwe kujiandikisha kwa fujo kwenye daftari la kudumu la kupiga kura, cha 2 kujitokeza kwa hasira kupiga kura ya ndio kwa wagombea wote wa UKAWA, tatu kulinda kura zetu kwa hasira kuliko hata tulindavyo mioyo yetu. Huu ndo utakuwa ndo mwisho wa ccm duniani
 
Watz jitokezeni kwa wingi kupiga kura tuiondoe CCM madarakani tumechoshwa na dhuluma
 
Ulichofanya Mungi ni propaganda za kipumbavu kuweza kufanywa humu JF
Lizaboniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wakati mwingine pima hoja kwanza.
  1. Bananga alikuwa safarini?
  2. Bananga alikutana na mbio za Mwenge?
  3. Bananga alikutana wapi na mbio za mwenge?
 
Bananga kajambazi kama lema hiyo pia ndiyo sababu mojawapo iliyofanya afukuzwe ccm jamaa mwizi balaa acha polisi washugurike naye.

Hivi baada ya miaka mitano na nyie buku 7 mtalipwa pension? Jipangeni muda huu kwa kujiuliza hatma yenu kwa sababu kuanzia 2015 CCM tunaenda kuizika rasmi
 
Story ndefuuu na hujaeleza unataka usaidiwe nini? Huyo Bananga ndio wa kwanza kukamatwa toka Police iundwe? Ukihalifu sheria ni lazima Polisi ikuhusu
 
Back
Top Bottom