CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
I'm allergic to "talkative people"
Nina Aleji na Jukwaa la wakubwa..........
Are u sure... Mbona nlikuona huko
Kila nikiingia huwa ninapata aleji... Wewe unaingiaga kufuata nini kule?
Nina allergy na MAGAMBA
Mi nikinywa juice ya passion au nanasi naumwa kifua
Mh...je iukinywa ndyofu????
Yan nikinywa juice ya passion then kikianza kuuma nikiwahi kunywa ndovu kinapona
Huwa naenda kutafta starter!!!!