Allen and Kasie....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,904
2,000
Nimeona..

Ameona plate number ya Dady ndiyo maana ananiita.

Wacha aendelee kuisoma plate number you hakuna namna wakati wewe ukibadili gia nami niko kiti cha mbele .... basi saa ingine wakati unabadili gia mkono hadi katikati ya mapaja..... hahahahahaa ndo maana napendaga magari aina ya manual.....

Kule ku balance clutch na accelerator vs clutch na break pedels while changing gears bila gari kuzimazima raha sanaaa hahahahaha

Sasa ukute Daby mkono anaobadili gia kavaa saa matata daaah.... Kasie nakuwa horohoro rojorojo...
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,904
2,000
Tunalindana mkuu..

Sasa sijui kasie kala pilipili za dodoma leo?

Za uhindini bana hahahahahhaaa, zile zilizokaangwa unafungiwa ukinunua kachori na Ile chatney yao duuh hadi mate yamenijaa.....

Kasie is problem, Kasie ni matata, Kasie is more than nasty but is the coollest ever....

When comes the dancing floor be sure that she'll knock you out heheheheheheee.
Enjoy your weekend mwaya maana simalizagi kuongea.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,904
2,000
Haha.
Nimempa uhuru wa kucheza anavyotaka ila tukikutana nyumbani anafuata katiba yangu.

Wajua vile nakupenda....... acha tuu, watu hawaelewi na vyema wasielewe maana wakielewa watatuvuruga.
Raha sana Daby na Kasie .......
Kwako natii sheria bila shuruti Masai wangu hata kimasai ntakizungumza.... naanzaje kukukosa kwamfano.. .. mmmuuahh!
images.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom