Allen and Kasie....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
22,173
40,524
Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF,

Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa nahitaji na wakati natoka nikapishana uso kwa uso na mkaka mmoja hivi kumuangalia vizuri au vijqana wanasema baada ya kufuta tongotongo nikagundua ni Allen.... ooohh my gooshh!!... Allen...!! nikajikuta nimetamka hivyo kwanguvu. Umekuja lini..??
Allen alinifata nilipo akanikumbatia, ashakum si matusi tukajikuta tumebusiana palepale kwenye lango la Mall. Basi si wajua nguvu ya mwanamke tena, ikabidi Alleng aghairi kuingi kwenye Mall maana tulikuwa hatujaonana kitambo, akanibebea mizigo yangu hadi kwenye taxi haooo tukatokomea tunakokujua wenyewe.

casual-man-watching-tv-his-sofa-home-living-room-42569813.jpg

Hadi dakika hii ndo naandaa chakula cha jioni niko hapa open kitchen Allen anaangalia mpira baada ya kumkatalia kuwa yeye ndo apike chakula, namtazama huku natabasamu.... Kasie and Allen looh...

man-standing-happiness-on-the-kitchen-and-preparing-food-picture-id521614808

521614808


Halafu kaja tarehe za hatari sijui ntatoka salama hapa au ntanasaa.....

624491024

young-pretty-black-woman-make-soup-in-kitchen-picture-id624491024

Ni hayo tuu kwa leo, jioni njema na alamsiki. Poleni kwa kuwachosha na matukio ya Kasie, ndivyo nilivyo.

Kasie.
 
Sawa kasie, hivi hiyo Mandela Square Mall inapatikana kijiji gani na mimi nijikusanye nikanunue kamkaa kangu ka 1000?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom