Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3,360
Reaction score
6,542
Ndugu zangu Waislam

Quran 16 : 67
"Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili."

Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi.

Tumswalie mtume.

Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee

Cc
Scott junior hamis77 Che mittoga Dumas the terrible

Umekimbilia ulevi baada ya kupata daawa nzuriiiiiiiiii , endelea kujifunza

Qur’ani 16:67 haisemi kwamba Waislamu wamekubaliwa kutengeneza au kunywa ulevi. quran.so
🔹 Aya hii inaonyesha tu uwezo wa binadamu kupata vinywaji vinavyoweza kusababisha ulevi kutoka kwa matunda. equranlibrary.com
🔹 Hatimaye, Qur’ani inakataza kabisa matumizi ya kilevi kwa Waislamu.
 
Ndugu zangu Waislam

Quran 16 : 67
"Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili."

Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi.

Tumswalie mtume.

Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee

Cc
Scott junior hamis77 Che mittoga Dumas the terrible

udanganyifu wa “ufufuo wa Yesu siku ya tatu” kama ilivyoelezwa katika Luka 24:44-48:




Luka 24:44-48 (Tafsiri Rahisi ya Kiswahili)


  1. Yesu akawaambia, “Hii ndiyo ile niliyokuwa nikiwaambia ninyi nikiwa bado pamoja nanyi: Kila kitu kilichoandikwa juu yangu katika Sheria ya Musa, Mitume, na Zaburi lazima kitimizwe.”
  2. Kisha akafungua akili zao ili waelewe Maandiko.
  3. Akawaambia, “Hii ndiyo imeandikwa: Kristo atateswa na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu.”
  4. “Na toba na kusamehewa dhambi zitahubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu.”
  5. “Ninyi ndimi mashahidi wa mambo haya.”



Ufafanuzi Rahisi:


  1. Luka 24:44-48 inadai kuwa imeandikwa katika Sheria ya Musa kwamba Yesu atakufa na kufufuka siku ya tatu.
  2. Tatizo ni kuwa Agano la Kale (Taurati, Manabii, na Zaburi) halina unabii wowote unaosema kwamba Yesu atafufuka siku ya tatu.
  3. Hivyo, kauli ya Luka kuhusu “ufufuo wa siku ya tatu” ni kudanganywa au kutafsiriwa kinyume na ukweli wa Maandiko ya Agano la Kale.
  4. Hii ni moja ya kazi za ubaguzi na upotoshaji zilizofanywa katika Injili za Agano Jipya.

Uhusiano na Qur’an:


  • Katika makala yangu Answering Isaiah 53, nimeonyesha wazi kwamba Agano la Kale linaungwa mkono na Qur’an: Yesu hakufyatuliwa msalabani na hakufufuka siku ya tatu.
  • Qur’an inasema wazi kwamba Yesu alishinda adui zake kwa njia ya Mungu, lakini hakufyatuliwa (Qur’an 4:157-158).

Hitimisho Rahisi:


  • Injili ya Luka inadai jambo ambalo halionekani hata kidogo katika Maandiko ya Agano la Kale.
  • Hii inaonyesha kuwa Injili hiyo inaingiliana na ukweli wa kihistoria na kiimani.
  • Hivyo, ni muhimu kuona kwamba udanganyifu huu unaonyesha kwamba Injili za Agano Jipya hazina usahihi wa moja kwa moja wa kihistoria, tofauti na Qur’an iliyohifadhiwa kwa usahihi mkubwa.


 
Umekimbilia ulevi baada ya kupata daawa nzuriiiiiiiiii , endelea kujifunza

Qur’ani 16:67 haisemi kwamba Waislamu wamekubaliwa kutengeneza au kunywa ulevi. quran.so
🔹 Aya hii inaonyesha tu uwezo wa binadamu kupata vinywaji vinavyoweza kusababisha ulevi kutoka kwa matunda. equranlibrary.com
🔹 Hatimaye, Qur’ani inakataza kabisa matumizi ya kilevi kwa Waislamu.

Kwahiyo mwanzo inaruhusu alaf baadae inakataza.

Si mlisema Quran haijipingi?.
 
Hao hata wasipoandikiwa mbona tunakunywa nao,na kitimoto tunakula nao nivile unafiki tu wakija humu jf.
 
Kwahiyo mwanzo inaruhusu alaf baadae inakataza.

Si mlisema Quran haijipingi?.

Kuna kujipinga wapi ?? kwani hapo imeruhusu ?? hivi una hata ubongo wa uzito wa ubongo wa kuku ??

Biblia yako inajitia rangi hapo ???


Divai katika Biblia – Muhtasari Rahisi na Aya​


  1. Divai imeharamishwa katika Agano la Kale
    • Walawi 10:9 – “Usinywe divai wala kinywaji chenye nguvu, wewe wala wanao pamoja nawe, mkiingia hema la mkutano, ili msife. Hii itakuwa amri ya milele kwa vizazi vyenu vyote.”
    • Methali 20:1 – “Divai ni kejeli, kinywaji chenye nguvu husababisha hasira, na kila aliyechukuliwa na hivyo si mwerevu.”
    • Isaya 28:7 – “Mahani na manabii walipotea kwa kinywaji chenye nguvu; wamekuzwa na divai, wanapotea katika maono na hukumu.”
    • Yoweli 1:5 – “Amkeni, nywaji wa divai, na liongoleeni; kwa kuwa divai mpya imekatwa kutoka kinywani mwenu.”
    • Hoshea 4:11 – “Ukahaba, divai na divai mpya hutoa moyo.”

Maana: Divai ilionekana kama hatari, na hata manabii na watumishi wa Mungu walipotea kutokana na divai.




  1. Mfano wa hatari za divai
    • Nuhu (Kwanza ya Musa 9:21) – “Akanywa divai, akachanganyikiwa, na akaonekana uchi ndani ya hema lake.”
    • Binti wa Loti (Kwanza ya Musa 19:33) – “Walimfanya baba yao anywe divai, kisha walilala naye bila yeye kujua.”



  1. Watu wema walikataa divai
    • Yohana Mbatizaji (Luka 1:15) – “Hatakunywa divai wala kinywaji chenye nguvu; naye atajazwa Roho Mtakatifu.”



  1. Yesu aliibariki divai
    • Injili ya Yohana 2:1-10 – Yesu alibadilisha maji kuwa divai kwenye harusi ya Kana. Aya muhimu:
      • “Yesu akawaambia watumishi, Wajaze maji kwenye mapipa. Wajazayo hadi juu. Kiongozi wa sherehe akajaribu maji yaliyokuwa divai, na hakuwa anajua wapi ilitoka; lakini watumishi walijua.”
      • Yesu akafanya muujiza ili watu wanywe divai kwa wingi.



  1. Mchanganyiko wa Biblia kuhusu divai
    • Agano la Kale: Divai imeharamishwa, husababisha makosa, vurugu na madhara.
    • Agano Jipya: Yesu aliibariki divai na watu walinywa.
    • Swali: Je, divai ni mbaya au njema? Biblia inaonyesha ujumbe wa mchanganyiko
 
Kama peponi kuna mito ya pombe kwanini duniani zikosekane chupa za pombe,ala ni mjuzi wa yote

Si ndio Yesu akalipinga agano la kale na kauli yake kuwa hakuja kutengua sheria, akageuza maji kuwa mvinyo au vipi ??
 
Kuna kujipinga wapi ?? kwani hapo imeruhusu ?? hivi una hata ubongo wa uzito wa ubongo wa kuku ??

😎😎😎😎😎Kwahiyo hiyo aya ya Quran ni ya uwongo?.

Hebu soma taratibu bila jazba.
Msisitizo weka "mtatengeneza".
 
Ujinga unaendelea kama kawaida,baada ya kuwapiga spana za maandamano

Sasa mmeamua kuleta huu ujinga
Maandamano hayakuchagua dini
Hata Waislam wengi walikufa
Wakiwamo rafiki yangu mkubwa Amiri wa pale Magomeni na Hussein wa pale Sinza na wote hatukuwazika hadi Leo.
Kwaiyo uache kukashifu maandamano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom