Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,394
- 18,197
Ngoja nikupe shule mjingamimi🤣🤣🤣🤣.Kwa Hyo umungu amejivua,utume amejivua na utoto wa Mungu amejivua.
Hapo ni MWANA WA DAUDI MTOTO WA MARIAM🤣🤣🤣🤣
Shule ya Kienyeji:
Tukienda kupiga ramri kwa mgangamchawi:
Unamkuta mtu unaongea naye na kumweleza shida zako:
Yeye hana uwezo wa kuagua:
Anapandisha Jini au Mzimu au Pepo:
Pepo linaanza kuongea tiba yako ufanye hivi na hivi utapona:
Au flani anakuroga
Halafu linaondoka mganga anarudi kwenye fahamu na kukusisitiza ufanye ulichoambiwa:
Hivi ndugu Yangu mjingamimi
Hapo umekutana na watu wangapi?
Aliye kuelekeza tiba ni yule mtu mganga, au Lile Pepo au Mzimu?
Tuanzie hapa kwanza kabla sijakupeleka ulimwegu wa Roho:
Mganga mwingine unakuta yanaongea Mapepo Kumi tofauti tofauti au zaidi yakitumia mdomo wa huyo Mganga:
Ushawahi kukutana na hiyo hali mjingamimi ?
Unauliza maswali ya kitoto sana: