Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

Soma kitabu rahisi Qurani
Kwa akili zako huwezi kuielewa Biblia:
Msalimie Jagina
Ngoja nikuchanganye zaidi kwa hizi Aya mbili:

Yohana 10:3
Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini;
38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.

Soma tu Qurani ndugu yangu mjingamimi
Inaeleweka kiurahisi sana:
Iko strait to the point

Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema:

"Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo."

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja.

Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa.

Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.

Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:
  1. Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
  2. Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
  3. Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu?

Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?

Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize:

Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu?

Au nini alikusudia aliposema:

"Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?

Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.

La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.

Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.

Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia:

"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha",

ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.

Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
 
Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15
Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:
Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56
Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:
Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
Luka 22.42-43
Hapa tunaona mambo matatu muhimu:
  1. Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
  2. Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
  3. Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu?

Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?

Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize:

Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu?

Au nini alikusudia aliposema:

"Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?

Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.

La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.

Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.

Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia:

"Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha",

ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.

Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
Soma Qurani Kijana
Huku maji ni marefu sana kwako:
 
Ndiyo maana unakimbia?
Haya MANENO katika Sura ya Kwanza ya Qurani Aya ya Sita anaongea nani
Sura ya Fatiha (ufunguzi)

1:6: Tuongoze njia iliyonyooka

Mshirikishe na mwenzako mnijibu:
 
Ufahamu kuwa Quran ni maagizo ya shetani. Mohamed alisema wazi kuwa kule pangoni alikutana na shetani, na akamwambia aandike yale atakayomwambia, na yeye akasema hajui kuandika. Cha ajabu mke wake akamwambia hakuwa shetani bali malaika Jibril!! Na kwa vike inaonekana mohamed alikuwa dhaifu sana kwa wanawake, akaamua kuyafuata maneno ya mkewe. Ndiyo maana mpaka leo Quran imejaa maelekezo ya kishetani, yaliyo kinyume kabisa na maagizo ya Mungu wa kweli.

Kwa kuwa hekima ya Mungu si ya sisi wanadamu, anajua wakati io sahihi atakapowaondolea mafundisho ya giza.

Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema:

"Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo."

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja.

Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.

Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.

Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

  1. Yesu anamwomba Mungu. Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.
  2. Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.
  3. Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."
Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu?

Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?

Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani?

yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu?

Au nini alikusudia aliposema:

"Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?

Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.

La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.

Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.

Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.

Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
 
Kwani Sura zote za Qurani kaandika nani?
Wakati Muhamadi hakuwepo
Muhammad alishushiwa Quran yooooote akiwa hai .
Acha hyo Quran ya kitabu unayoiona Leo.
Baada ya mtume kufariki ndio wakaamua kuuhifadhi kwenye mfumo wa makaratasi.
Haya yohana alipewa na nani injili?
 
Unavyofahamu wewe ni vipi?
mimi ninachojua miaka mia sita baada ya habari za yesu kuna mtu aliibuka na kudaia kaoteshwa aanzishi dini na kashushiwa vitabu ambavyo ni copy and paste ya vitabu vya kiyahudi na biblia na yule mtu akasema hajasoma popote kwakuwa yeye hajui kusoma na kuandika kwaiyo aaminiwe?
 
Muhammad alishushiwa Quran yooooote akiwa hai .
Acha hyo Quran ya kitabu unayoiona Leo.
Baada ya mtume kufariki ndio wakaamua kuuhifadhi kwenye mfumo wa makaratasi.
Haya yohana alipewa na nani injili?
Nani aliandika Aya za Qurani?
Maana naona sura tu zimeandikwa bila utambulisho wa waandishi wake
Na ni kwanini walificha majina Yao kama waliyoandika ni ya ukweli

Jibu kwa Andiko na sio masimulizi yako:
Kama uliandika wewe Sema
 
Safi.muhammad alishushiwa Quran Kwa mfumo wa sura kamili,na zingine zilikuwa Aya Quran ilishushwa Kwa muda wa miaka 23 kama sijakosea.kipindi Muhammad mwenyewe yupo HAI.QURAN ilikuwa inahifadhiwa moyoni yaani Kwa njia ya masimulizi watu wanahifadhi baada ya mtume kufariki na maswahaba waliohifadhi kufa vitani wale wachache waliobaki wakaona Ili Quran isije ikapotea wakahifadhi kwenye ngozi na magome ya miti mpaka ikaja kwenye makaratasi.
Sasa niambie wewe ikiwa injili ni maneno ya yesu kwanini waandishi wa injili hizo 4 wanatofautiana?
 
Waandishi wa Injiri umeyaona majina Yao:
Tupe basi majina ya waandishi wa Sura za
Qurani:
Mambo ya waliandika waliandika hayana nafasi hapa:
Na ni kwanini wameyaficha majina Yao kwenye Qurani ?
kama walichoandika ni cha kweli?
Maana hata habari za kwenye magazeti Zina majina ya waandishi wake wanaweka Hadi namba zao za Simu ili kuthibitisha habari zao:
Naomba majina ya watu waliyoandika Aya za Qurani kama hujui Sema
Siwajui
 
Huu mwaka 2025 umekuwaje mwishoni. Mimi ni Mkatoliki mimepata bahati ya kufundishwa mafundisho Parokia ya Kawekamo Mwanza na Father Dotto enzi akiwa ni Shemasi. Sikuwahi kufundishwa kuchukia imani ya mtu yoyote wala kukashifu mafundisho ya imani au dini yoyote. Wala sikuwahi kuambia ili uonekane wewe ni Mkatoliki imara lazma imani zingine ziwe chini ya miguu yako. HAPANA.

Sijui hii roho ya kwenda kutukana na kudogosha imani ya mtu mwingine tumeitolea wapi? Yaani niamke asubuhi nikachukue Bhagavad Gita nianze kutafuta kasoro ili nioneshe udhaifu wa waumini wa Hindu?!

Je kwangu kuna faida gani? Ama nichukue Quran takatifu kisha nitafute loopholes nianze kutukana waislamu? Je imani yangu itakuwa imara kwa kukejeli imani zingine? HAPANA 😔 Hii sio nzuri kabsa
IT DOESN'T MAKE SENSE KABSA 😕
 
Wewe Sema upo hivyo na sio wengine:
Huko Nigeria Kuna eneo wakikujua tu ni Mkristo uwe Mromani au Msabato, kuna vikundi vinakuwinda ili wakuue: Makanisa yanachomwa moto na kuharibiwa:
Hadi Juzi Trump ameingilia kati:

Kuna nchi ni marufuku kuonekana Mkristo au kuishika Biblia:

Wewe Sema kama wewe:
Wakristo Kuna maeneo tunawindwa kama wanyama wakati hatuna shida na wenye Imani wowote:
Au hukusikia maneno ya Yesu:
Kuwa tutateswa kwa ajiri ya kumwamini yeye...!

Mitume wengine waliuwawa kwa kukatwa vichwa, kusurubiwa, kupigwa nk.

Wewe hujui habari hizi kweli,
Kaa kwa tahadhari:
 
Ni sawa ila mwishoni inampa mtu faida gani? Kuna wakati imani inakuwa kama madawa ya kulevya aisee 😔
 
Somalia sasa hivi Makanisa yameanza kuruhusiwa kujengwa maeneo maalum baada ya shinikizo la muda mrefu:
Ukiwa Mkristo kamili utajuwa ni kwanini tunachukiwa na baadhi ya wenye imani nyingine:
Ni vita vya Kiroho:
 
Mungu atusaidie
 
Mungu atusaidie
Ndio maana Paulo aliandika haya MANENO aliyojulishwa na Yesu:

Waefeso 6:10
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
14 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani,
15 na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani;
16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
 
Turudi kwenye Mada
Nimeisoma pia

Sura ya Nyuki
16:67
Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.
 
Waandishi wa Injiri umeyaona majina Yao:
Tupe basi majina ya waandishi wa Sura za
Qurani:
Mambo ya waliandika waliandika hayana nafasi hapa:
Na ni kwanini wameyaficha majina Yao kwenye Qurani ?
kama walichoandika ni cha kweli?
Maana hata habari za kwenye magazeti Zina majina ya waandishi wake wanaweka Hadi namba zao za Simu ili kuthibitisha habari zao:
Naomba majina ya watu waliyoandika Aya za Qurani kama hujui Sema
Siwajui
Hauwezi kuyaona majina ya WAANDISHI WA Quran sababu sio Mali yao.
Ila ya injili unayaona sababu ni MAANDIKO YAO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom