Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Huyo si ndo atanichanganyia mambo kabisa kwa kile kingereza chake mhhh??
Naaah, let not your heart be troubled.
Huyo si ndo atanichanganyia mambo kabisa kwa kile kingereza chake mhhh??
khaa! Inamana hatamimi hujaniona mkuu??
ha haaaa, uliisoma jana nini!Mi mpk sasa sijaamka sijui nisingizie Kaizer hajanipa lifti aaaaargh!
Believe me........Hahaaaa is it?
ha haaaa, uliisoma jana nini!
pole sana........Tena mida ya kutafta usingizi!
Aaaargh!
Kwani uongo?
Nimekusubir upite weeeee mpk.nimerud kulala!
Kwani uongo?
Nimekusubir upite weeeee mpk.nimerud kulala!
Mwalim si unajua rafiki Fixed Point alinikataza lift za wajawazito..halafu ni dada yako sasa mmalizane... 🙄
ati??????
Hufai siti ya mbele,kaaga hukohuko bakibencha.
Thank youGood for you...
Eeeh kwan na ww mjamzito hadi utake lift?😀😀😀😛
mmmhhhhhh, usituchonganisheMwalim si unajua rafiki Fixed Point alinikataza lift za wajawazito..halafu ni dada yako sasa mmalizane... 🙄