All of me

All of me

there is a way mashairi kama haya yanaweza tu kukufanya ujikute unafua diapers!
HAKYAMAMA tena!
Hahaaa... Yaani, najiona kabisa nikakaribia kufua diapers. mashairi matamu sana haya.
 
Nipo Sis, long time kweli. Majukumu yamekuwa mengi mno hii awamu. Ila leo, baada ya kupitia hii thread, nimejikuta nai miss JF ya enzi hizo.

Yaani kabisa.

Nilipotea pia kuna kipindi but now nipo around kushangaa tu JF ya leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom