All of me

All of me

............. rr .........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: RR
A little exaggerated somehow...lovely composition though, I would sing this part to HER because they are true about her;
How many times do I have to tell you Even when you're crying you're beautiful too
Cc: mwallu
 
Last edited by a moderator:
Risking it all though it's hard!!!!!!!!!!

.......hapa ndio tunapokwama.....yaaani tope hili ila unaona kama unaweza pita bila kuchafuka masikini........

I love to love ........
 
You can so...but when he says all cards on the table...that's powerful

Niliusikiliza kwa mara ya kwanza baada ya kuambiwa nisikilize na mtu very dear to me. Nikausikiliza kila mahali, in my office, nyumbani na hata nikiwa naelekea kwenye misele yangu. I can sing this song word
for word ukanikumbuasha miaka ile nikiandika nyimbo kwenye daftari.

One night as I was trying to sleep listening to the song, usiku kila kitu kikiwa kimya kabisa, sijui ni ule ukimya au nini it hit me hakuna kitu kama hii katika hii dunia esp pande hizi za kwetu.

Still love the song though and sometimes in my day dreams wish for someone to tell me these strong powerful words and most important amaanishe neno kwa neno
 
Mnhhhhhhh....ipo labda different stages
 
Hii kitu imesimama nemic4u...ya ukweli.....
Ni kama old times zimeletwa kwenye dunia ya dijitali!
Hata kufanya dedication yake kwako inakua burudani kwangu...

............. rr .........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa. Reminds me of him. I hope he remembers nothing.

Am gonna laugh the whole day.

Thanks buddy.
 
Very deep song...
Huu mwimbo niliufahamu for the first time kwenye huu uzi wako.. Nikawa naupenda tu... Juzi kati kuna mtu kaupiga, akawa anaimba huku tunadance, lol. Yaani, I felt like a teenager, kumbe mi Muhenga.
Nikakumbuka huu uzi hadi nimekuja kuutafuta upya.
 
Umefanya nimemmiss The Boss
Atakavokuja kwa sifa!
ehehehehehhee hatutakunywa maji!
 
Huu mwimbo niliufahamu for the first time kwenye huu uzi wako.. Nikawa naupenda tu... Juzi kati kuna mtu kaupiga, akawa anaimba huku tunadance, lol. Yaani, I felt like a teenager, kumbe mi Muhenga.
Nikakumbuka huu uzi hadi nimekuja kuutafuta upya.
there is a way mashairi kama haya yanaweza tu kukufanya ujikute unafua diapers!
HAKYAMAMA tena!
 
Huu mwimbo niliufahamu for the first time kwenye huu uzi wako.. Nikawa naupenda tu... Juzi kati kuna mtu kaupiga, akawa anaimba huku tunadance, lol. Yaani, I felt like a teenager, kumbe mi Muhenga.
Nikakumbuka huu uzi hadi nimekuja kuutafuta upya.
Long time aisee. Hujambo Dada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom