Si yeye kasema ALL members.................sasa mimi niko mchakatoni..............teh
Edible fruit, ooh Ghosh.
nachuna mabuzi
Lokesheni at ladies shoulders in parties? Manake nahisi anaishi kwenye mabega ya warembo! Namuonea wivu yaani! Mweh!
married with pregnant on top.....kudadadeki....
Si unikubalie yaishe??!
FAIVUSOME! lol
Yetoni!
Kama tunatumia ID ambazo sio real basi nina wasiwasi hata marital status zitakuwa fake....Labda tumwombe Invisible atafute njia ya kuverifayi marital status na ziwe ni kigezo cha lazima kwa membersWanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.
"UKWELI HUMWEKA MTU HURU KABISA."
Naanza mimi:
Bampami-Male-Single
Tiririka na wewe sasa...
Harika m'mbora........LOL