ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Hivi sensa bado haijaisha tu? Mkimaliza marital status muanze kutaja idadi ya watoto na wategemezi. Ngoja niongeze notebooks.
 
Still on Search.
a.k.a Silent Hunter!!
 
Duh! Lazima ahame shosti, maana ulikuwa huna hata muda wa kumtazama usoni kutwa wewe na key board tu.

Acha tu shost,
Pesa hizi,zitatutoa macho!!!
Wallah tena.
 
Lokesheni at ladies shoulders in parties? Manake nahisi anaishi kwenye mabega ya warembo! Namuonea wivu yaani! Mweh!
Jina lote hilo la mtu mmoja?

Afu Le mutuz siku hizi anayo lokesheni bana......ameamua kujituliza kwa baba!
 
Kwani makarani hawahesabiwi? Hebu ujiseme hapa manake nakuonaga unamgongea likes my huzbend, ntakunyonyoa manyoya ya mwilini na kichwani wewe! Ohooo!
Mie ndio karani wa hii sensa namsaidia bampami. Makarani tunatiririka mwishoni kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom