Pole sana kaka!!
You can replace from JF and get your fellow GT.
Use this thread to check for availabilities Sir.
Pole sana kaka!!
You can replace from JF and get your fellow GT.
Use this thread to check for availabilities Sir.
Mjane!!!
Kwani makarani hawahesabiwi? Hebu ujiseme hapa manake nakuonaga unamgongea likes my huzbend, ntakunyonyoa manyoya ya mwilini na kichwani wewe! Ohooo!
Eda ya nini King'asti?Heeh! Taratibu jamani! Muache mwenzio akae eda, mbio zote za nini? Akhuu!
KakaKiiza, tulia mwaya, Mungu atakuteremshia tunu ila sio kwa voda fasta.
Ila yataka moyo!!
JF??
Why not?
Toba! King'asti huyo huzbend unayemzungumzia ni nani tena? Hebu funguka nikusome vizuri. Bahati mbaya huwa situnzi manyoya. Kuhusu kufunguka kuwa na subira niko bizeri sana kama unavyoona humu kuna status ambazo kwenye form hatukuziweka hivyo kazi ni ngumu.
Like Picha la adui Ashanti na Amitah Batchan.
Ni-PM mimi status yako basi MwaJ,
Nlishawahi kupitiaga mdada wa jina hili hapo kabla,
Maujuzi yalikuaga balaa, you sound to posses same skills with your wajina!!
Bado sijakupata.
GT mwenzie atamfaa sana KK. Especially mzoefu wa MMU.
Interest sharing ni muhimu katika selection.