Hivi wewe hatuko basi moja, umekaa siti ipi? Kuna mdada kavaa baibui ndio wewe nini dah uko serious kweli..lol
umenionea Mtu Chake?.....
Hahahaha!!! Huyo dada hana tofauti na Kongosho kabisa inawezekana ni yeyehahahaha..... Nimevaa exactly the way nilikua nimevaa siku ile tumeenda Samaki Samaki (when you where dumped!) ila huyo dada nimemuona unae mzungumzia....lol
AISEE VIPI, NDO ULISHSHINDWA ILE LIGI YA PRETA?
Yule TOM alikushinda kabisa kwenye race?...umeniangusha sana Broda!
Ww kwenu ni kipandi ipi jion nikupitie twende mkesha lol!
Safari njema..karibu sana Moshi.Habari zenu wapendwa,natakia x-mass njema,niko njian naelekea Moshi kwetu km ilivyo desturi yetu,niko ndan ya Dar express nahitaji maombi yenu tufike salama,nawapenda wote.
Mkuu vipi yule mbuzi wangu uliyeniahidi tusifanyiane hivyo banaa..Safari njema..karibu sana Moshi.
Hahahaha!!! Huyo dada hana tofauti na Kongosho kabisa inawezekana ni yeye
Umeona ehee...halafu pacha wako FF hii sikukuu namtafuta sana nimpe offer..Tatizo nae Kongosho ni maji marefu.... Aweza kua anybody... Dah!
Umeona ehee...halafu pacha wako FF hii sikukuu namtafuta sana nimpe offer..
Cantalisia mdogo wangu, mbona hatukaribishani? lol..... Happy bon voyage...
Natia timu jioni ya leo kutokea Arusha maana nikichelewa watalitia maji. Safari njema
moshy pande zp mbona umepanda dar express ni mrombo nn