duh, umempatia kweli!
AISEE VIPI, NDO ULISHSHINDWA ILE LIGI YA PRETA?duh, umempatia kweli!
Sa unakwenda na mikakati gani ya kuongeza kizazi?...Salamu kwa TANMO!...Nasikia amekaa No 25 kwenye saibaba!he he....ninawahi sensa mie....nasikia mwaka huu tulipungua sana.....
Dah!! Na wewe uache kula Karanga na Mayai kwenye basi unatusumbua kweliNa mie ndo huyu jirani ako.
Kila saa unaniangukia ukisinzia
Mwambie huyo jirani yako tubadilishane siti nije nikae kwako huyu Kongosho ananisumbua na Karanga na Mayai yake ya kuchemshadah hivi kumbe tupo wengi humu ndani ya basi....hebu tupa macho hapa #26.....
Dah!! Na wewe uache kula Karanga na Mayai kwenye basi unatusumbua kweli
Mwambie huyo jirani yako tubadilishane siti nije nikae kwako huyu Kongosho ananisumbua na Karanga na Mayai yake ya kuchemsha
Hahaha!! Na Korosho nazo kanunua pakti mbilinimemuona wakati ananunua mahindi ya kuchoma....
Nimekaa nyuma yako siti namba 40
dah hivi kumbe tupo wengi humu ndani ya basi....hebu tupa macho hapa #26.....
sinziga.... All the best katika this holiday.... Hivo chukua hio!
[video=dailymotion;xkq97h]http://www.dailymotion.com/video/xkq97h_rihanna-cheers-drink-to-that-official-music-video_music[/video]
asee, kumbe jirani?
Nilikuwa nina dili na huyu mdada tokea tumeanza safari amenunua mahindi ya kuchoma, hatujakaa sawa kanunua karanga tuliposimama high way kanunua mayai ya kuchemsha na korosho ndio nafanya mpango wa kuhama sitiHeee!asa mbona tunachuniana swaiba!au huyo dada hapo kakushika TF!
Nilikuwa nina dili na huyu mdada tokea tumeanza safari amenunua mahindi ya kuchoma, hatujakaa sawa kanunua karanga tuliposimama high way kanunua mayai ya kuchemsha na korosho ndio nafanya mpango wa kuhama siti
Hivi wewe hatuko basi moja, umekaa siti ipi? Kuna mdada kavaa baibui ndio wewe nini dah uko serious kweli..lolPA hi!