Hahahahaaaa! Mangure, Busa & Kideko??? Walah tena wewe lazima utakuwa wifi angu, tena wa damu kabisa...umenikumbusha deshi deshi ( hapa wanakodoa macho takujazia baadae) nae yupo anapata mangure mida hii si unajua mjasiri haachi asili na akiacha asili hana akili...lol. Nyumbani ni nyumbani bana asikwambie mtu... Karibu this time ujivinjari na chibuku..
Asante Afro!
Naomba unifundishe kuchora ivo
Kila siku na-admire kimya kimya
leo naku-PM
Karibu Dada Mkuu,
Kwa leo asiyeshangaa basi hata ukimfikisha ferry hataona kitu...
Naona umenasa kwenye mtego wa AD......
Jifunzeni mje kumpa burudani babu!!
Hah hah ! Kumbe na wewe una admare ... Sema usikike!! Lol! Utapata msaada! Na tafadhali Msaada unifikishie !!
Tena AD akinifundisha tutakuburudisha huku tukikung'oa ndevu zenye mvi
Kana ni program anipe at any cost
Kama ni utundu basi anigawie
nimechoka kuvumilia, ananirusha sana
ananikalisha kwenye tuthpick kila siku
LooH! Si unaona anavyozidi kushukaaa
... hapa kuna ka program etc.. hope atatusikia na kumaliza kiu yetu ujuzi! Lol
Asante saaaaaaana Dada yangu. Happy Hollidays to you. Enjoy ur New Year. May God Bless uuuuu.
Thanks AD....nawe pia uwe na wakati mzuri....pole sana kama bado utakuwepo kazini........
..hahahahahah
AJ jamani .. Itabidi nikuandikie kitu
kwenye Profile yako .. Ili uwe nayo for ever and ever ..
hahahahah
Hehe, my sis... Sijapiga shopping, mi mwenyewe nalitegemea BOOM la HESLB, Unataka nifilisike ehh? It´s a joke!!!!!!!!!!!!!!!!! Asante sana. Happy 2012 to uKaribu tena kakaake.. Hopeful umemaliza hiyo Xmass shopping . na sasa unaingojea tu kwa hamu hahahha Na kutakia kila lakheri kwa msimu huu wa sherehe na kila lakheri kwa mwaka mpya wa 2012.
Jamani Preta ujue hata mi niko kazini........natamani kulia. Nimejaribu kila kitu nachoweza kufikiria ili niende likizo lakini wapi.......:smash:
Hujambo lakini..............nimekumiss................... asante kwa msaada
Asante sana dia.........na kwako pia. Nimependa creativity yako.......iko njema sana.
Surely !! Please niandikie ... will highly appreciate it !!
Lakini mhh! I will be kin to know exactly what buttons you press to bring out all this!!
Hehe, my sis... Sijapiga shopping, mi mwenyewe nalitegemea BOOM la HESLB, Unataka nifilisike ehh? It´s a joke!!!!!!!!!!!!!!!!! Asante sana. Happy 2012 to u
duhhhh
Pole sana dear..
tuko kwenye chungu moja..
Ila kuna makazi mengine haya Xmass, Iddi wala New year..
Ni kazi tu 24/7 ... Nway I guess itakuwa vema tukitabasamu tu..
Karibu tena..
Pole na kazi na kila lakheri kwa mwaka 2012..
.
Ngoja niende sasa..
nisije kusahau buree..
Na usijali kabisa ukitaka kujua yote
haya I'm more than happy to show you ..🙂