All is set for Somalia to join the EAC

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana wiki hii jijini Kampala kutoa msimamo wao kuhusu uanachama wa Somalia kwenye jumuiya hiyo.
Somalia imekuwa ikiomba na kukataliwa mara kwa mara.
Tusubiri tuone. Busara itumike tu.
More to follow....
Sababu kubwa ni nchi ya waislam wengi nilishangaa South Sudan kuingizwa wakati ipo katika vita kubwa
 
Hiyo ni misumari ya moto, inapenya bila kugongwa kwa nyundo
Misumari ya pumba. My point is, you have been in Kenya News long enough. You are not driving any of your long winded points home with your mindless stupidity. Be short and precise with your stupidity. Its clear for all to see, thats its very deeply ingrained. Free advice.
 
"Way better" than somalia? Kumbe wewe ni secret admirer wa TZ, unaimezea mate huku ukijifanya unaidharau.
nikisema it is better than somalia ina maana gani? hivi wewe ulienda shule ipi? huwa najiuliza kila uchao...nikama tu kusema afghanistan is way better than Syria...does this now mean I admire Afghanistan????:(:(:(:(
 
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana wiki hii jijini Kampala kutoa msimamo wao kuhusu uanachama wa Somalia kwenye jumuiya hiyo.
Somalia imekuwa ikiomba na kukataliwa mara kwa mara.
Tusubiri tuone. Busara itumike tu.
More to follow....

How can you think a country which has been without a government since 1981 could join the EAC?! Kweli una uwendawazimu! A country comprised of one solid tribe SOMALI,one religion ‘Islam’ and yet they are fighting against each other - clan against a clan!!!muslim killing a Muslim! Washukuru ‘Makafiri’ (a vulgar language often uttered by Alshabaab) wa Kenya, Uganda, Burudi na Ethiopia else ungekuta hakuna cha Msomali au Mwislamu nchini Somalia.
 
Mkuu mimi nimeleta habari tu kwako mbona unanishambulia?
 
Sababu kubwa ni nchi ya waislam wengi nilishangaa South Sudan kuingizwa wakati ipo katika vita kubwa
Somalia ni nchi inayopiga marufuku watu kusherehekea krismasi alafu eti tuwakaribishe? OLE WENU viongozi wetu kuweni makini!
 
Mkuu mimi nimeleta habari tu kwako mbona unanishambulia?

Tunapinga kwa nguvu zetu zote kwa nchi ambayo haina serikali tangu kipindi cha Generali Siad Barre mpaka leo kujiunga na nchi zenye serikali kamili, tulivu na uongozi bora katika Africa! Angalia Kagame Magufuli Kenyatta Museveni, Salva Kiir na Nkurunziza wanavyoendesha serikali zao. Ni afadhali ya D R Congo kujiunga kuliko Somalia. Angalia Somalia ina Puntland, Somaliland. Somalia bado sehemu yake ingine imejitangazia Uhuru yaani Puntlant na Somaliland!!!!!!!!which part of Somalia would join EAC in case it is granted a go ahead? Will the other EAC states raise special forces to go and fight in Puntland and Somaliland so as to have a one united country - Somalia?! Tuwaache na fujo na madhambi yao!
 
Nakubaliana na wewe tuwaache na bora DRC kuliko Somalia. Ila mbona hata sisi Zanzibar wanataka kujitenga? Kenya nayo na mikoa yao ya Pwani je?
Tatizo sio separatist movements tatizo ni SECURITY!
PEACE AND SECURITY is why we will not let Somalia in.
Na kidogo pia wana religious intolerance Christians wanaminywa huko.
 
Mkuu umesema ukweli ila hi ni economic integration not political integration, naomba Somalia uiangalie kiuchumi sio kijitihadi au kisiasa. ......politically almost E.African countries are the same it's only matter of time, when it comes to leadership we don't have "statesmen" of The caliber of JK, Mandera we have political pycophants .....Somalia is not significantly different from S. sudani Burundi Rwanda is a time bomb Tz with Zazibar issue time will tell.Uganda with Buganda federal demand its just boiling . so let Somalia join her sisters.
 
nikisema it is better than somalia ina maana gani? hivi wewe ulienda shule ipi? huwa najiuliza kila uchao...nikama tu kusema afghanistan is way better than Syria...does this now mean I admire Afghanistan????:(:(:(:(
Way better in what sense? Somalia has even less industries than TZ so its should be a better market for kenyan goods and kenyan educated professionals, unafik wako unaonekana mchana peupe.
 
Kumbe kusaidia ndo kupeana uhuru? Haya basi, mbona sasa hivi wao pia hawawasaidi kupata uhuru wenu wa kichumi na kimaendeleo? Yaani wamewatupa kuule, sasa hivi wanapaa wakiwa pekee yao. Au usaidizi mlowapa hawakuwa wanauhitaji sana?
Uhuru wa kiuchumi tuupate mara ngapi? Wewe hausikii kila uchwao sheria na sera zinavyo badilishwa mpaka IMF na WB wanapiga kelele, au nenda kaulize Multinationals zilizo Tz. Hao South unao sema wanapaa peke yao ni ipi, ebu fuatilia trend ya economy growth ya south na tz then uje tena dogo..
 
Kwahivyo kiuchumi Tz na S.A mnaandamana sako kwa bako? Ndo maana nchi yenu imekuwa dampo la bidhaa kutoka viwanda vyao? Bidhaa ambazo wasauz wenyewe hawana hamu nazo. Hongera zenu.
 
Wewe umesema uchumi wa SA unapaa peke yao waki iacha Tz, kupaa maana yake ni kwenda juu au kukua. Mimi nimekwambia angalia trend za uchumi wa SA na Tz upi unakua au unapaa kama ulivyo sema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom