Aliyewahi kuutesa moyo wangu ananitaka

Balozi, kama una line mbili ile moja anayoifahamu tulia nayo kwanza mpaka atakapoondoka na kurudi huko majuu.

Vile vile usijaribu kuthubutu kujibu simu au sms zake utanasa mtegoni. Jaribu kumshirikisha mama watoto na yeye ndiyo ajibu hizo simu uangalie jee ataendelea.

Huyo anaitwa STALKER na ukifanya mchezo atakupigia simu au kukutumia sms mpaka usiku wa manane.
 
balozi
wewe mmege tu alafu umuweke pembeni ndio atajifunza
...[/COLOR][/B]

...unamchuuza! anaweza kuonja halafu akanogewa. Kunogewa noma na inavyosemekana amenona ndio kabisaaa...!
 
Thanks FP, in fact nilimueleza hayo hayo unayosema na kumsihi asinipigie simu. Anadai hawezi kunisumbua wakati niko na familia lakini mimi nimemueleza hawezi kujua wakati gani niko na familia. Muda mfupi uliopita kanipigia simu sikupokea, matokeo yake kanitumia sms tukutane "pale pa jana" nikupe zawadi zako. Sijajibu sms yake na nimefunga simu. Naanza kuhisi usumbufu fulani.

Huna haja ya kuzima simu kwa sababu ya huyo dada, unless uniambie simu yako siyo muhimu sana kuwa online...... utakosa ma-deal ya maana sababu ya kumkimbia huyo bibie. just tell her peace of your mind. na kama mimi ndo ningekuwa mkeo ningependelea uniambie ukweli kuhusu huyo bibie ili nione nikusaidiaje, hiyo inasaidia hata unapopata smses za midnight hu-feel guilty kihivyo ingawa inakuuma kuwa ni usumbufu. kuna kipindi husband aliwahi kukutwa na mdada wa kumsumbua kama huyo wako. unajua mtu kama humpendi anakuwa kero fulani, hata hutaki kabisa kusikia chochote toka kwake. aliniambia na kazi yangu kubwa ilikuwa ni kumfariji anapopata sms za kumuumiza kutoka kwake, ilimsaidia sana..... usiniulize waliishiana vipi, nimeona tu yale malalamiko siyapati tena na amani imerudi
 
balozi, hilo kwako ni jaribu, mshirikishe mkeo na umtangilize Mungu pia.
 
...unamchuuza! anaweza kuonja halafu akanogewa. Kunogewa noma na inavyosemekana amenona ndio kabisaaa...!

Hilo ni kweli kabisa Mbu. huwezi jua ana mbinu gani.... kuonja hakufai kabisaaaaaaaaaaaaa, na usithubutu Ambassador unaweza hamia huko. achana naye
 
alivyokuwa Bikir* alikutosa sasa watu wameshafunuafunua na kila akipima anona wewe ulikuwa best hivyo ndo anataka akuletee makombo, achana nae, hilom ni pepo na hana nia na wewe
 
Mjomba usijichanganye,usikubali kutegwa na mchele,utakuwa hauna tofauti na kuku,sasa alikuwa anadengua nini,mwambie kama anataka mapenzi,akulipe,kwasababu huyo anataka kujistarehesha na mwili wako,na kama tunavyojua starehe hulipiwa,mwambie muingie mkataba wa malipo!!
 
...uzoefu unanikumbusha 'akishaonja tu lazima atauchonga mzinga!'
 
dah...kumbe hukumfeel ki hivyo...unahitaji twisheni ya infidelity aisee
Nilimfeel sana lakini niliye naye sasa namfeel zaidi. Hizo tuition za infidelity nimehudhuria nyingi tu lakini naona mara nyingi mwisho wake sio mwema. Ninayo mifano hai. Ukishapoteza imani ndani ya familia inachukua muda mrefu sana kuirudisha, na sina uhakika kama inarudi 100% Wenye uzoefu watueleze.
 
Balozi, kama una line mbili ile moja anayoifahamu tulia nayo kwanza mpaka atakapoondoka na kurudi huko majuu.

Vile vile usijaribu kuthubutu kujibu simu au sms zake utanasa mtegoni. Jaribu kumshirikisha mama watoto na yeye ndiyo ajibu hizo simu uangalie jee ataendelea.

Huyo anaitwa STALKER na ukifanya mchezo atakupigia simu au kukutumia sms mpaka usiku wa manane.
Ofcourse nina line mbili na hiyo moja nimeifreeze kwa muda. Sina uhakika kama atarudi kajuu au la, ila nilipooongea nae tulipokutana alinileza kwamba amerudi moja kwa moja.

Issue ya kumshirikisha mama watoto nilikuwa sijaifikiria na sijui ataipokeaje. Kama atareact vigorously kwa mshukiwa au ataichukulia kistarabu. Will think it over.
 
mimi kama mimi angenijia hivyo ningemramba halafu ningemtosa mbaya mpaka angejuta kunifuata kama kweli mtu alikuliza moyo wako zamani ukavumilia basi na wewe ramba kisha tosa jumla na yeye apate maumivu kumwacha hivi hivi ataringa baadae
 
balozi, hilo kwako ni jaribu, mshirikishe mkeo na umtangilize Mungu pia.
Ofcourse nina line mbili na hiyo moja nimeifreeze kwa muda. Sina uhakika kama atarudi kajuu au la, ila nilipooongea nae tulipokutana alinileza kwamba amerudi moja kwa moja.

Issue ya kumshirikisha mama watoto nilikuwa sijaifikiria na sijui ataipokeaje. Kama atareact vigorously kwa mshukiwa au ataichukulia kistarabu. Will think it over.

...DON'T DARE!...
hili ni jambo dogo sana, tena lililo ndani ya uwezo wako. Kumshirikisha mkeo ndio chanzo cha maswali mengi, likiwemo "why are you telling me this? why now?"
Rmbr;..."You are always a genius until you open your mouth."
 
na wengine tumebakiwa na akili za kuvukia road, atajuta kuniambia, lakini naona haina umuhimu kumwambia mtu sana sana kama unavyosema ni vijimaswali mfululizo.
 
Huna haja ya kuzima simu kwa sababu ya huyo dada, unless uniambie simu yako siyo muhimu sana kuwa online...... utakosa ma-deal ya maana sababu ya kumkimbia huyo bibie. just tell her peace of your mind. na kama mimi ndo ningekuwa mkeo ningependelea uniambie ukweli kuhusu huyo bibie ili nione nikusaidiaje, hiyo inasaidia hata unapopata smses za midnight hu-feel guilty kihivyo ingawa inakuuma kuwa ni usumbufu. kuna kipindi husband aliwahi kukutwa na mdada wa kumsumbua kama huyo wako. unajua mtu kama humpendi anakuwa kero fulani, hata hutaki kabisa kusikia chochote toka kwake. aliniambia na kazi yangu kubwa ilikuwa ni kumfariji anapopata sms za kumuumiza kutoka kwake, ilimsaidia sana..... usiniulize waliishiana vipi, nimeona tu yale malalamiko siyapati tena na amani imerudi

mie kwa kwei acniambie kabisa coz atafanya nyumba ikose amani, a solve mwenyewe kimya kimya, ninavyojijua hata akichelewa kazini au mahali pengine pa usalama nitahic vingine na ndio mwanzo wa kukerana.
 
...DON'T DARE!...
hili ni jambo dogo sana, tena lililo ndani ya uwezo wako. Kumshirikisha mkeo ndio chanzo cha maswali mengi, likiwemo "why are you telling me this? why now?"
Rmbr;..."You are always a genius until you open your mouth."
balozi atajuta kujipendekeza kufungua huo mdomo..................

well said Mbu
 
Back
Top Bottom