Aliyewahi kuutesa moyo wangu ananitaka

ana kesi ya kujibu na yeye......

ila mimi kwa kweli ntalia sana na mwanamke anayejua kabisa huyu ni mume wa mtu na bado anakosa heshima kiasi hicho. wengine huwa wandanganywa 'sijaoa'........huyo anagalau ana cha kujitetea. shemeji yangu aliwahi kumdanganya binti hajaoa, sisy alipogundua mumewe ana cheat alimpigia yule binti na binti akajieleza na that was it.....

yaani hawa viumbe jamani, wakati mwingine unajiuliza aliolea nini kama bado alikuwa hajamliza mambo yake, sasa na wewe dada unadanganywa mtu hajaoa hata anapoishi hujui/hujauliza?....po mwaka mzima mnaishilia hotel huhoji anaishije?
 
alaaaa!! mume mtamu dearest huh!!! si unaona mi ndo mana nasema 'cheza na mimi' usicheze na 'mume wangu'............tena dharau zilizopitiliza kama hizo ........I would be too nice to her nimwache tu aende na kovu tu.

Linapokuja suala la mume au hata mke (kwa upande wetu wanaume) ni jambo gumu sana. Huwezi hata siku moja kujua uta-react vipi ukikutana na mauza uza ya namna yoyote. Hata hivyo unahitaji kumwomba Mungu kwani unaweza kukuta uamuzi uliouchukua unakutia mwenyewe matatizoni. Kuna wanawake ambao wamejikuta wakiambulia kichapo cha mbwa mwizi toka kwa waume zao wakisaidiana na hao hawara (kugombelezea) kwa kisingizio kuwa wameanzisha fujo. Kwa hiyo kabla ya kuanzisha kipigo ni muhimu kuangalia huyo mume atakaa upande gani.Au uwe tayari kuwapambana nao wote, na pia kumpoteza mume ikibidi.

Dada yangu ameachana na mume wake baada ya huyo mume kumsaidia hawara yake kumfungulia kesi mahakamani eti kwa kosa la kumgawia kichapo huyo hawara. Huwezi kuamini, huyo mwanamume ndiye alikuwa shahidi wa kwanza wa hawara yake. Ila baada ya dada kushinda kesi, mume wake alijaribu kuomba msamaha na dada akamwambia kuwa mke anayemtafuta yuko jela. Ndoa imekufa fa!!
 
je angeshindwa?.....hapo mbona hakuna cha kusamehewa jamani, yaani hatakiwi hata kuonekana mbele ya macho ya mkewe, ameendelea na hawara auahawara nae alimmwaga?(au hamjajua?)...hata mie hapo ndoa ingekufa kibudu.
 
Huyo mdogo wangu ana misimamo kama yako kiasi kwamba nampenda sana. Mimi nilikuwa namchukia sana huyo shemeji yetu basi tu. Nadhani hata angeshindwa kesi hiyo ndoa ilishakufa siku nyingi. Kwa sababu huyo mwanamume alikuwa kama shetani kabisa. Kuna wakati mke wake alipandwa na pressure hadi kulazwa hospitali ila nilipompigia simu kumuuliza kulikoni, akadai mke wake ni mwongo haumwi!

Dada alipata shinikizo la ndugu ili amsamehe mume wake lakini alikataa kata kata na sasa anaendesha maisha yake vizuri tu na ni mwaka wa 2 umepita. Jamaa ameoa mke mwingine tofauti na yule hawara yake na nadhani bado anaendelea na huo ukware wake. Hata hivyo mambo yake si mazuri kiasi kwamba bado anamuota mke wake wa zamani!
 
hapo mie ndipo ninapopapendaga, yaani mtu anatakiwa ajute milele, hee mdog wako nae alipata msukosuko eehh...hapo unakuta pressure imepanda kwaajili yake bado unaambiwa hayo...yaani game jamani ni gumu sana hili.
 
Kweli Nyamayo, hiyo pressure ilitokana na vituko vya huyo mwanamume. Baada ya kuachana naye sijawahi kusikia tena hiyo kitu inaitwa pressure. Alijaribu kuachana naye kama mara 2 kabla ya hapo akashinikizwa na ndugu. Ila mimi nilimwambia mara hii kwamba kama akirudi kwa huyo mwanamume wenye akili zetu tutaandaa matanga. The guy was a killer na angemuua mdogo wetu hivi hivi.

Back to the topic,
Balozi hatakiwi hata siku moja kuokota viroba vilivyorushwa barabarani na watu asiowajua. Huyo dada katumwa na mashetani wake ili amwangamize. Hakumuhitaji wakati jamaa anampenda sasa anataka nini tena? Hata kama ni infidelity, kitu kinakuwa kitamu ukikihangaikia na siyo kuletewa vibudu. Huyo dada ni hatari kuliko VVU au kansa!
 
Kwa muda mrefu amekuwa kimya baada ya kumfungia vioo. Wiki iliyopita kaniandikia email baba yake mgonjwa nikamuone, sikwenda. Leo kanitumia email baba yake alifariki na shughuli za msiba zimeisha. Hakunitaarifu in time kwa sababu sikutaka kwenda kumuona baba yake wakati mgonjwa. Nimemjibu nimempa pole nikaahidi kupita kwao nikitoka kazini.
 
usijaribu, usijaribu.....amekosa kote huk anataka kujishikisha kwako, baadhi ya wanawake wanapenda kujipotezea muda kweli, mie nilivyo na wivu nikae na mtu nusu saa aniambie namuwahi mke wangu cjui kama ningeweza huo ulimwengu, ucmkubali...yaani sasa hivi ndio anakuona wa maana japo umeoa?
Nyamayao mbona hivyo .......... wenzio wale wapi ? :smile: ati wanasema tunabanana humuhumu ....... alafu mnasema wanaume walafi .........
sasa mwenzenu kaambiwa mwenzio keshatinga ulungoni bado anataka kuibia ... mbona tuatamalizana .......... halafu huku juu kulivyo na
ukame wa mihogo na mbunye ............. atakuwa na njaa huyo anawenzambaka jamaa .....:smile:
 
Kwa muda mrefu amekuwa kimya baada ya kumfungia vioo. Wiki iliyopita kaniandikia email baba yake mgonjwa nikamuone, sikwenda. Leo kanitumia email baba yake alifariki na shughuli za msiba zimeisha. Hakunitaarifu in time kwa sababu sikutaka kwenda kumuona baba yake wakati mgonjwa. Nimemjibu nimempa pole nikaahidi kupita kwao nikitoka kazini.
Mshkaji nenda msibani ........... huwa tunazika hata tusiowafahamu ....... TIP baba binti maringo
 
yaani hawa viumbe jamani, wakati mwingine unajiuliza aliolea nini kama bado alikuwa hajamliza mambo yake, sasa na wewe dada unadanganywa mtu hajaoa hata anapoishi hujui/hujauliza?....po mwaka mzima mnaishilia hotel huhoji anaishije?

Nyamayao ukipenda ndio hivyo hata sisi huwa tunapigwa danadana pia ....... ila akinadada wengine jasiri, unajua wanaume kuiba mke wa mtu mara chache sana ..:thinking:
 
Back
Top Bottom