ALIYEWAHI FANYA ONLINE TEST YA EACOP PROJECT MSAADA

ALIYEWAHI FANYA ONLINE TEST YA EACOP PROJECT MSAADA

Rico redi

Senior Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
163
Reaction score
313
Habari wakuu

Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema
Chochote haswa kwa watu wa administration
 
-Compony law
-Law of Contract
-Consequences of contract breaks
-Labour law
-Environment law
-Agreements and Contacts
-Bilateral cooperations and Mutual Agreement
 
Habari wakuu

Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema
Chochote haswa kwa watu wa administration
Ulifanya programu ya Eacop mooc ?
Vipi ? ndio interview ya kwanza kwako tangia umalize ile programu ya Eacop mooc ?
 
Back
Top Bottom