Aliyetunga kitabu cha Kikwete matatani

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi waliosoma alivyokuwa akijisifu wakati wa kuzindua kitabu chake cha Kikwete walihisi kuna tatizo. Kimsingi hili ni pigo kwa Kikwete mwenyewe kama rais wa nchi. Pia ni aibu kwa Tanzania ingawa haikumtuma. Kuna haja ya watanzania tulioko nje na ndani tulioamua kufanya kazi ya kitaaluma kujituma na kuwa wakweli. Kwanini kutafuta sifa usizo nazo? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
 
kashfa hiyo

nadhani ni mfumo uliokuwapo sema ukabumburuka tu

surprised after leading a faculty for 20 years, he was making 159K only
 
Looh aibu kubwa sasa kwenye kitabu amejitambulisha kuwa ni Professa itakuwaje sasa na kimesambaa dunia nzima aibu kubwa ndio maana aliyekihariri alikibishia na kusema hakikuwa na uandishi makini
 
Hivi kuandika kitabu cha kumsifu raisi ina mchango wowote katika maendeleo ya jamii yetu..Mimi naona huo ni ulimbukeni uliopitiliza.
 
Duh!

Yale yale ya kufanya kazi bila ya kufata kanuni na sheria
 
'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi waliosoma alivyokuwa akijisifu wakati wa kuzindua kitabu chake cha Kikwete walihisi kuna tatizo. Kimsingi hili ni pigo kwa Kikwete mwenyewe kama rais wa nchi. Pia ni aibu kwa Tanzania
ingawa haikumtuma. Kuna haja ya watanzania tulioko nje na ndani tulioamua kufanya kazi ya kitaaluma kujituma na kuwa wakweli. Kwanini kutafuta sifa usizo nazo? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Baaasiiii..hiii ni aibu yake mwenyewe wala si taifa maaana hatukumtuma!!!!
 
'Profesa' Julius Nyang'oro aliyetunga kitabu chenye utata cha kumsifu rais Jakaya Kikwete amekubwa na kashfa kubwa ya kisomi kutokana na kuiba kazi za wenzake hata kushindwa kutimiza wajibu. Wengi waliosoma alivyokuwa akijisifu wakati wa kuzindua kitabu chake cha Kikwete walihisi kuna tatizo. Kimsingi hili ni pigo kwa Kikwete mwenyewe kama rais wa nchi. Pia ni aibu kwa Tanzania ingawa haikumtuma. Kuna haja ya watanzania tulioko nje na ndani tulioamua kufanya kazi ya kitaaluma kujituma na kuwa wakweli. Kwanini kutafuta sifa usizo nazo? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Mbona sijaona panapoonyesha kwamba aliiba kazi za wenzake? halafu hata hizo tuhuma wanazompa za kwamba alimbeba huyo mwanariadha kwenye course yake mbona nazo zinaonekana bado hazina ushahidi wa kutosha? Tusifanye judgement haraka. maana itakuwa ni aibu, pale mtakapojua kwamba hakufanya makosa hayo.
 
Nyie subirini kama hamta sikia kuwa amepewa ubunge wa viti maalum, Mkuu wa mkoa, wilaya au hata akakabidhiwa Chuo kikuu chochote hapa, Tanganyika nchi yenye vituko vya aina yake peke yake ukija upande wa uongozi. Mtu anachaguliwa kiushikaji sio Elimu au uwezo
 
Hivi kuandika kitabu cha kumsifu raisi ina mchango wowote katika maendeleo ya jamii yetu..Mimi naona huo ni ulimbukeni uliopitiliza.
Wakati mwingine ni kujikomba kwa mkulu ili wakumbukwe kwenye ufalme wake hasa wakati wa uteuzi wa nafasi za upenedeleo.
 
actually hiyo link haielezei plagiarism yake katika hicho kitabu cha kikwete ila it is talking about his link to the aberrant behaviour observed at the university. i do not think that those suspicions are baseless because he was in all the classes in which the suspicious activities were seen, all 43 classes he taught.

i think muanzishaji wa hii thread angesema tu kuhusu plagiarism seen in his students because it has the backing ya source yake ya taarifa ila kuhusu hicho kitabu, muanzisha thread hajasema kama plagiarism yake ina lie wapi hasa.

pia ni vigumu mtu kama mimi kusema lolote kuhusu hicho kitabu kwa sababu sijakisoma bado na hata sijui nitakipata wapi nione anayoyasema kuhusu mzee kikwete.
so please, if anyone can help out, aniambie nitakapoweza kukipata hicho kitabu ili na mimi niwe aware ya yanayojiri

i humbly submit my views
 
Mbona sijaona panapoonyesha kwamba aliiba kazi za wenzake? halafu hata hizo tuhuma wanazompa za kwamba alimbeba huyo mwanariadha kwenye course yake mbona nazo zinaonekana bado hazina ushahidi wa kutosha? Tusifanye judgement haraka. maana itakuwa ni aibu, pale mtakapojua kwamba hakufanya makosa hayo.

Haa haa haa ... Watanzania wa leo kwa kudai '''ushahidi wa kutosha''! Hata umkamate ana kwa ana atadai 'nipe ushahidi. Tumefika mahali pabaya
 
Anamsifu kwa lipi? Huo ndio ulimbuken wa fikra. Hawa ndio wale mabolizozo. Jamaa akitabasamu nao wanatabasamu kumbe hakuna alichosikia. Angetunga kitabu cha kumkosoa ningemwona ana fikra.
 
Mi nikafikiri kuna m-dissident huko kamchambua Kikwete mpaka Kikwete ka lose cool kamsweka.

Kumbe walamba buti wa muongo uliopita?
 
ninasikia ana kashfa ya kuchukua kazi za wengine na kudai yeye ndiye zake,,,,,,,,,,na kwenye hicho kitabu mengi amaeiba kutoka kazi za wengineo...................so he is an inveterate plagiarist
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom