Wengine watakuwa hawana corona na wataipatia hapohapo karantiniSiwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.
Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.
Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.
Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Sio kila aliyewekwa karantini ni mgonjwa. Karatini ni kukaa siku 14 ukipimwa na kusikilizia Kama umeathirika au la. Kwasababu dalili zinachelewa kujitokeza.Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo linahusika vipi na Ccm? Utaratibu mzuri wa kukaa karantini 14 days ili kujua kama upo na maambukizi au la,lakini wanaojichetua akili kama wewe ndio hivyo wanatoroka.Hawa ccm hawaoni aibu kuendelea kuruhusu ndege za kutoka Ulaya kutua hapa nchini
Kuna makosa kwenye hizo karantini kule china wanafungwa kifaa cha kuwamonitor mienendo ya mtu. Tabia ya mtu inabadilika sana na hawa wangefungwa iwe rahisi kuwapata wajinga wanaotoroka kama hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.
Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.
Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.
Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Janga jangani!
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah bongo vituko haviishi...Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema alipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dniale Chongolo na akamjulisha kuhusu mtu aliyetoroka karantini
Mtu huyo baada ya kutoroka Dar alionekana yuko Iringa, uongozi wa wilaya walishirikiana na jeshi la polishi kujua anapokaa mtu huyo na wamempeleka kantini
Mtu huyo inasemekana alitoka Norway, na ana siku nne tangu aingie hapa Tanzania. Alikaa karantini siku tatu na kuamua kutoroka
Nyumba aliyokaa pia iko chini ya karantini na mganga mkuu wa wilaya atawapima wote wanaoishi katika nyumba hiyo
Kasesela amesema kuna mwingine wiki iliyopita alitoroka karantini ya Tunduma na hadi sasa hawajui yuko wapi, lakini mtu huyo alikuwa mmalawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka wakomeshe watu sababu wametoka majuuSiwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.
Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.
Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.
Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Tutaaminije kwamba hautatoka nje?Karantini watu wanaweza kaa makwao pia sio lazima wafikie hotelini.
Hatakama sio mgonjwa Kuna shida gani akakaa mloganzila wikimbili? Anaweza lala hata vip kwanza huko wodini Ni paxuri kuliko huko mahotelini
Hizo chip xikiletwa wiki tu unazikuta kariakoo machinga wanaziuzaTechnology yetu ipo chini mno. Hatujaweza kufikia hapo pa kuwawekea chip ya kumonitor mienendo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hasa wahudumu, madokta tu kupitia uwakilishi wao wamelalamika upungufu wa PPE, huko hotelini sijui kama hata wahudumu wanafikiria hayo.Wengine watakuwa hawana corona na wataipatia hapohapo karantini
Kama agizo la Durtete Ufilipino, ukikaidi risasiAkikaidi tena ni shaba tu
Wanaotakiwa kukaa quarantine wengi wanaondokea na kuingilia kupitia airport; nadhani ivyo ndivyo wanavyobainika.Tutaaminije kwamba hautatoka nje?
Wamesema ni mgonjwa kwan... Au kila aliyepo karantini ni mgonjwa siku hiziHuyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?