Aliyetoa amri ya majeshi kuua raia ndiye ameunda tume kuchunguza mauaji hayo

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo.

Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi. Inasemekana mwenyeji wa (vi)Tunguu aliidhinisha operesheni code ZERO ili kuondoa possibilities za ushahidi kuendelea kupenyezwa kunako husika. Pia amekasimu madaraka ya Afya kwa mkwewe mwenye kifua kipana ili kudhibiti ushahidi wa maiti kupokelewa monchwari na majeruhi wa Mo29+ kuzikwa wakiwa hai.

Tume aliyoiteua imeanza kazi huku ikituhumiwa kukamatisha wanaotoa taarifa za ukatili uliofanywa na vyombo vya dola. Polisi, jeshi na Usalama wameungana kusaliti viapo vyao vya kulinda mipaka ya nchi na usalama wa ndani na kujiunga kumtetea mwivi wa maliasili za taifa na mtesi wa wananchi wanaomkosoa, mqjeshi yetu wanachokifanya mpaka unaposoma uzi huu ni kuteka, kutesa, kufira hata kuua raia wanaoonekana kumpinga sponsor wao.

Akiizindua tume hiyo ya kiBOZO, ameielekeza kuandaa taarifa inayojumuisha yafuatayo
  1. Waandamanaji wamepokea pesa kutoka abroad ili washawishike kuandamana
  2. Waandamanaji kutoka nje ya nchi kuingia nchini kuchochea vurugu
  3. Na mambo yanayofanania na hoja hizo mbili
Katika hadidu kwa BOZO committee katu hawajaelezwa kuchunguza
  1. Idadi ya waliouawa
  2. Wahusika wa mauaji hayo
  3. Majeruhi na hali zao kwa sasa
  4. Makaburi ya halaiki ambayo wamezikwa maiti waliouawa chini ya amri ya Chura binti Kiziwi.
  5. Ibara za Katiba na sheria zilizokiukwa na watekelezaji wa mauaji hayo
  6. Amri ya kupiga risasi raia mpaka majumbani kwao ilitolewa na nani
  7. Aliyetoa amri kuzima mtandao wa internet
  8. Matendo ya ubakaji, ufiraji na utesaji wa raia majumbani kwao uliofanywa na vikosi vya majeshi yetu

Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake.....
 
SIASA INAHITAJI AKILI TOFAUTI NA HAPO YOU WILL DANCE POLITICIAN'S TUNES

BADALA MUANGALIE NJIA ZA KWENDA MBELE ILA MMEBAKI KUCHEZA MZIKI ULE ULE MULIOWEKEWA NA WAPINZANI WENU

DO YOU THINK , THESE BRAINLESS ZITALETA UPINZANI KWA CCM ?
 
1766640011682.jpg
 
Mwenye akili siku zote huwa anageuka nyuma kutazama alipojikwaa Ili huko mbele ajue ni namna gani unaviruka vihunzi vya kujikwaa Tena. Ukizeeka ndio utajua uchawa hauna maana na ni aibu kwa mwenye akili.
 
Ulitaka tume hii iundwe na Mange, Sarungi na CHADEMA walioitisha maandamano? Mbona inakuwa hivi!
 
Mwenye akili siku zote huwa anageuka nyuma kutazama alipojikwaa Ili huko mbele ajue ni namna gani unaviruka vihunzi vya kujikwaa Tena. Ukizeeka ndio utajua uchawa hauna maana na ni aibu kwa mwenye akili.
Hoja zako ndo zipi hapo ?
 
SIASA INAHITAJI AKILI TOFAUTI NA HAPO YOU WILL DANCE POLITICIAN'S TUNES

BADALA MUANGALIE NJIA ZA KWENDA MBELE ILA MMEBAKI KUCHEZA MZIKI ULE ULE MULIOWEKEWA NA WAPINZANI WENU

DO YOU THINK , THESE BRAINLESS ZITALETA UPINZANI KWA CCM ?
Upumbavu ni kipaji
Kwani wale mliowaua mmewapatia ndugu zao ili wazikwe kwa stara?

Au ulidhani mmeua nzi?
 
Afrika kuna shida moja yani ukiwa mkubwa kiumri,uwongozi na pesa uwezi kukosea hata ukifanya ya adolf Hitler wa ujerumani.

Wamefanya na hakuna wa kuwafanya kwa kuwa wao ndio wenye serikali.
 
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo.

Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi. Inasemekana mwenyeji wa (vi)Tunguu aliidhinisha operesheni code ZERO ili kuondoa possibilities za ushahidi kuendelea kupenyezwa kunako husika. Pia amekasimu madaraka ya Afya kwa mkwewe mwenye kifua kipana ili kudhibiti ushahidi wa maiti kupokelewa monchwari na majeruhi wa Mo29+ kuzikwa wakiwa hai.

Tume aliyoiteua imeanza kazi huku ikituhumiwa kukamatisha wanaotoa taarifa za ukatili uliofanywa na vyombo vya dola. Polisi, jeshi na Usalama wameungana kusaliti viapo vyao vya kulinda mipaka ya nchi na usalama wa ndani na kujiunga kumtetea mwivi wa maliasili za taifa na mtesi wa wananchi wanaomkosoa, mqjeshi yetu wanachokifanya mpaka unaposoma uzi huu ni kuteka, kutesa, kufira hata kuua raia wanaoonekana kumpinga sponsor wao.

Akiizindua tume hiyo ya kiBOZO, ameielekeza kuandaa taarifa inayojumuisha yafuatayo
  1. Waandamanaji wamepokea pesa kutoka abroad ili washawishike kuandamana
  2. Waandamanaji kutoka nje ya nchi kuingia nchini kuchochea vurugu
  3. Na mambo yanayofanania na hoja hizo mbili
Katika hadidu kwa BOZO committee katu hawajaelezwa kuchunguza
  1. Idadi ya waliouawa
  2. Wahusika wa mauaji hayo
  3. Majeruhi na hali zao kwa sasa
  4. Makaburi ya halaiki ambayo wamezikwa maiti waliouawa chini ya amri ya Chura binti Kiziwi.
  5. Ibara za Katiba na sheria zilizokiukwa na watekelezaji wa mauaji hayo
  6. Amri ya kupiga risasi raia mpaka majumbani kwao ilitolewa na nani
  7. Aliyetoa amri kuzima mtandao wa internet
  8. Matendo ya ubakaji, ufiraji na utesaji wa raia majumbani kwao uliofanywa na vikosi vya majeshi yetu

Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake.....
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Back
Top Bottom