Aliyetaka kuongea na Mimi kwa Mara ya Mwisho Kabla ya Kujiuwa- Je katumwa na Mungu?

Nikiwa Kama jasusi aliyebobea katika maswala ya ushambuliaji na kubadilisha ubongo kwa njia ya saikolojia,. Naweza kusema hapa lengo lako ni kuwafanya watu waamini ushoga ni ulemavu tu na tuwapokee kwenye jamii na mwisho tusithubutu kuwatenga.

Bro acha kupotosha jamiii, ushoga sio jambo la kulifurahia kabisa, yawezekana sisi tusiathirike kwa kuishi nao Ila watoto wetu wanaweza wasipone hata kidogo

Itafika mahari mtu utataman usizae mtoto wa kiume kwa kuogopa mambo Kama hayo
 
Hiyo haijustify yeye kuwa shoga,jiulize kwani hakuna binadamu wenye hitilafu hizi na wamekubali kasoro zao na wamejikausha tu hawajishughulishi kivyovyote vile na mapenzi ya aina yoyote ile,yaani hawaingiliwi kinyume na maumbile??

Inatakiwa ajikubali tu kuwa ni mlemavu na asiliwe kinyume na maumbile ,hivyo tu
 
vip kuhusu Hisia zake za kimwili ana kaushaje nazo na anakula na ana afya nzuri?? je anastahili kujitesa kwa kujidunga sindano za kuondoa hisia za kimwili ana uantakiwa aishije?
 
Nikiwa Kama jasusi aliyebobea katika maswala ya ushambuliaji na kubadilisha ubongo kwa njia ya saikolojia,. Naweza kusema hapa lengo lako ni kuwafanya watu waamini ushoga ni ulemavu tu na tuwapokee kwenye jamii na mwisho tusithubutu kuwatenga.

Bro acha kupotosha jamiii, ushoga sio jambo la kulifurahia kabisa, yawezekana sisi tusiathirike kwa kuishi nao Ila watoto wetu wanaweza wasipone hata kidogo

Itafika mahari mtu utataman usizae mtoto wa kiume kwa kuogopa mambo Kama hayo
So kaka nimekuelewa fresh unataka wauliwe ili watoto wako waishi fresh?? Kwamba wao ndio wenye zambi kuliko walevi, wauwaji, washirikina, wachawi, waganga, na wazinzi?? kwamba zambi ya kusema uongo ni ndogo kuliko ya kuzini kinyume na maumbile? kwamba zambia ya kuzini wanaume kwa wanawake wasio wao ni ndogo kuliko ya aliye zaliwa na hitilafu ya kimaumbile na kushindwa kucontrol hisa zake?? Kwamba wewe ni mtakatifu sana hunandhambi uliyo kwisha wahi ifanya maishani mwako kwahiyo una taka wauliwe ili watoto wako wasiwaone?

Jitafakari uliyo wahi fanya tangu kuzaliwa kwako alafu ulinganishe na kanuni za mungu kama hukuwahi zivunja basi una haki ya kuwaangamiza hao watu, na usiishie kuwaangamiza tu wao uangamize na walio wazaa maana hawakuchagua homorne za kuzaliwa nazo wala hitilafu za kimaumbile bali hao walio wazaa.. na siyo wao tu Ata huyo mkuu aliye wapa pumzi umtafute umuuwe ili tujue wewe una hasira na kizazi cha badaye..
 
Ingependeza zaid ungebold sehem niliyoandika wauwawe.

Amini usiamini kila mwanaume hapa duniani laiti Kama ingetokea amekosa uangalizi mzuri akiwa mdogo basi mtu huyo leo hii angekua shoga (including me)

Mtoto huathirika kisaikolojia kwa kuona na kuskia.

Ushauri wangu wasipewe nafasi ya kujitambulisha wao ni mashoga kwenye jamii na tuone eti ni jambo lakawaida tu

Haya ndio mambo tiss inabidi wayafyeke kabla jamii haijaharibika, kwasababu tunakoelekea siko tulikodhamiria

Mashoga wadhibitiwe wanatuharibia kizazi kijacho

Over
 
Lol 🤣🤣🤣 kwamba Ana uterus na kafanyiwa ,"atrasaundi"mkuu umenichekesha Sana,ungesema tu straight kwamba lengo lako NI kutetea mashoga na kutoa excuse kwa tabia zao ungeeleweka.😄😄😄 Madaktari eti hiyo condition ya dogo alosema mtoa mada inaitwaje? nikagoogle niongeze maarifa
 
Lol kwamba Ana uterus na kafanyiwa ,"atrasaundi"mkuu umenichekesha Sana,ungesema tu straight kwamba lengo lako NI kutetea mashoga na kutoa excuse kwa tabia zao ungeeleweka. Madaktari eti hiyo condition ya dogo alosema mtoa mada inaitwaje? nikagoogle niongeze maarifa
Read this... View attachment 2045271
Screenshot_20211215-191608.jpg
 
So kaka nimekuelewa fresh unataka wauliwe ili watoto wako waishi fresh?? Kwamba wao ndio wenye zambi kuliko walevi, wauwaji, washirikina, wachawi, waganga, na wazinzi?? kwamba zambi ya kusema uongo ni ndogo kuliko ya kuzini kinyume na maumbile? kwamba zambia ya kuzini wanaume kwa wanawake wasio wao ni ndogo kuliko ya aliye zaliwa na hitilafu ya kimaumbile na kushindwa kucontrol hisa zake?? Kwamba wewe ni mtakatifu sana hunandhambi uliyo kwisha wahi ifanya maishani mwako kwahiyo una taka wauliwe ili watoto wako wasiwaone?

Jitafakari uliyo wahi fanya tangu kuzaliwa kwako alafu ulinganishe na kanuni za mungu kama hukuwahi zivunja basi una haki ya kuwaangamiza hao watu, na usiishie kuwaangamiza tu wao uangamize na walio wazaa maana hawakuchagua homorne za kuzaliwa nazo wala hitilafu za kimaumbile bali hao walio wazaa.. na siyo wao tu Ata huyo mkuu aliye wapa pumzi umtafute umuuwe ili tujue wewe una hasira na kizazi cha badaye..
Lakini kumfira mwanaume hapana,
 
Ingependeza zaid ungebold sehem niliyoandika wauwawe.

Amini usiamini kila mwanaume hapa duniani laiti Kama ingetokea amekosa uangalizi mzuri akiwa mdogo basi mtu huyo leo hii angekua shoga (including me)

Mtoto huathirika kisaikolojia kwa kuona na kuskia.

Ushauri wangu wasipewe nafasi ya kujitambulisha wao ni mashoga kwenye jamii na tuone eti ni jambo lakawaida tu

Haya ndio mambo tiss inabidi wayafyeke kabla jamii haijaharibika, kwasababu tunakoelekea siko tulikodhamiria

Mashoga wadhibitiwe wanatuharibia kizazi kijacho

Over
Uko sahihi mkuu, hata sisi tukiwa wadogo kama 5-7 yrs hivi au chini, tulianza kujaribu mambo ya ngono lakini wazazi walisimama imara na kutupa kichapo ambacho mambo hayo yalikoma. Mtu anazaliwa mzima kabisa lakini anapotezwa na dunia kwa uzembe wa walezi
 
Kuna watu ni watawa(ma sista na mapadri) wao wanawezaje kuzuia hisia zao muda wotee? wew ikushinde hadi upachikwe ukuni huko nyuma?
 
Huo ni wito, wameitwa. Aliyewaita anawawezesha. sasa sina uhakika kwa waliojiita wenyewe.
Hata hivyo behind the scenes hatujui nn kinaendelea hata hivyo Kuna mengine tunayasikia na kuyashuhudia .
 
Back
Top Bottom