Aliyesababisha kifo cha Salome Mbatia akamatwa

Wandugu mbona popcorn zangu zinaisha bila ya jibu la MKJJ????????
Nilipata fununu tu ya kuwa Dereva kapata Assigment fulani katika wizara nyeti....kwa job well done! Kukuhakikishia siwezi, Naogopa......

Nitumie kwenye PM!!!!
 
Yaani mimi sasa nimebaki mdomo wazi! Tuendelee labda jibu litapatikana. Hizi mysteries zinawangisha kichwa, polisi, usalama naona wako kwenye usingizi wa pono kama siyo culprits!

kumbuka tunajadili ufisadi uliotokea wakati Salome Mbatia alipokuwa ni Mweka hazina wa CCM(jee walimnyamazisha asiseme anayoyajua kuhusu waliochota mamilioni ya "wadanganyika?). Na pia kwa kauli za wabunge wa Mara walidai kwamba kwa kuwa wengi wao ni CCm walimtumia wangwe kusema yale ambayo wao wasingeweza kutokana na kubanwa na kanuni za chama chao.

Jee Wangwe alikuwa anawafurahisha wakubwa na jee hawakumuona kwamba yeye anaweza kutumia ushawishi wake kwa wabunge hao kubadili hali ya mambo Mara?
 
Najaribu kumkong'oli mwanajamvi mmoja hivi nione naye kama anamapafu ya ziada. Akikubali basi ni yeye ndiye atakayenena. Lakini wizara nyeti si zinajulikana? Na amekuwa ni kiongozi katika idara hiyo inayoshughulikia kuasign madereva wa kumuendesha muheshimiwa long distance.!!
 
Wanatarime wengine waliojaribu kutetea haki za Tarime walikufa kwa "ajali" - mwanaharakati Maisa - na wengine waliishia kupigwa risasi za moto na walinzi wa makampuni ya madini. Haya yote hayakumleta Makamba, Msekwa, Wasira na wengine wote hadi leo wakati wa uchaguzi.

hii nimeitoa kwenye thread ya mnyika kuhusu polisi kupiga watu tarime
 
Mdau mmoja ameandika hivi:

MMKJJ

Hua navutiwa sana na posts zako nyingi zimejaa mantiki na huzitumia kupanua ufahamu wangu.Kimsingi ni mshabiki wako.
Lakini hii ya dereva wa mama mbatia haiwezi kupita bila ya kupingwa.

1.Kwa nilivyoelewa unataka tuamini kua yule dereva hakupatikana(alikimbia baada ya ajali)
2.Unataka tuamini kua ajali ile ilipangwa makusudi ili mama wa watu afe kwa kua ana siri nyingi za ufisadi.

Mimi naamini una uweledi mpana kiasi cha kushangaa mtu kama wewe kutoa mchango mwepesi kama huu.

Mheshimiwa Kabwe Zuberi anaweza kuwa shahidi mzuri sana wa tukio hilo kwa kua muda mchache tu kabla ya ajali gari ya marehemu ilimpita,nae alikua mtu wa kwanza kutoa maiti.

Yule mama alichukua dereva wa nyumbani kwa kua ziara haikua ya kiserikali,

Pili inawezekana kabisa dereva kwa ugeni wa barabara akasababisha ile ajali au ni dereva wa fuso kwa upumbavu wake yakatokea yaliotokea.

Kuhusu kuchukuliwa hatua kwa dereva wa fuso,natumai una ufahamu japo mdogo wa sheria za "traffic case" za Tanzania kua hata ukiua nani inakua si first degree urder.

Inawezakana dereva kapata dhamana na akahukumiwa au kesi inaendelea.Ni hii inategemea na kosa ni la nani, la dereva wa mama mbatia au dereva wa lori.

Mwisho ningependa tu kukujulisha kwa faida yako kama una tatizo kama hili la kujua kesi inayomuhusisha mtu mzito,unaweza wasiliana na msemaji mkuu wa polisi hata kwa email wanakupa maendeleo ya kesi halafu unaweza kupost ulichopata lakini posting yako haina uhakika hata wa kesi ipo hatua gani,nani mtuhumiwa n.k

Asante sana kwa muda wako

My Take:
Next time, kitu kama hiki ambacho hakina usiri wowote unakipost hadharani.
 
Mwanzange,

Hafla ipi hiyo kaka, inawezekana namimi nilikuwepo!

Nipenyezee kwenye PM usiwe na shaka

FP
 
TUMEMWELEWA MANTIKI YAKE. Kama wewe si Polisi huwezi kujua uhalifu kupitia vyanzo vingine visivyotambulika na polisi.Lakini huo ndiyo ukweli wote?
 
Bado haijatusaidia kujua dereve yuko wapi? Huyo jamaa bado amekuja na speculations kibao. Abdallah Zombe na Deus Mallya wako rumande, kesi zao zinaendelea na taarifa tunasoma mara kwa mara kwenye vyombo vya habari. Huyu aliyemuua Salome Mbatia yuko wapi?
 
Mdau mmoja ameandika hivi:

MMKJJ

Hua navutiwa sana na posts zako nyingi zimejaa mantiki na huzitumia kupanua ufahamu wangu.Kimsingi ni mshabiki wako.
Lakini hii ya dereva wa mama mbatia haiwezi kupita bila ya kupingwa.

1.Kwa nilivyoelewa unataka tuamini kua yule dereva hakupatikana(alikimbia baada ya ajali)
2.Unataka tuamini kua ajali ile ilipangwa makusudi ili mama wa watu afe kwa kua ana siri nyingi za ufisadi.

Mimi naamini una uweledi mpana kiasi cha kushangaa mtu kama wewe kutoa mchango mwepesi kama huu.

Mheshimiwa Kabwe Zuberi anaweza kuwa shahidi mzuri sana wa tukio hilo kwa kua muda mchache tu kabla ya ajali gari ya marehemu ilimpita,nae alikua mtu wa kwanza kutoa maiti.

Yule mama alichukua dereva wa nyumbani kwa kua ziara haikua ya kiserikali,

Pili inawezekana kabisa dereva kwa ugeni wa barabara akasababisha ile ajali au ni dereva wa fuso kwa upumbavu wake yakatokea yaliotokea.

Kuhusu kuchukuliwa hatua kwa dereva wa fuso,natumai una ufahamu japo mdogo wa sheria za "traffic case" za Tanzania kua hata ukiua nani inakua si first degree urder.

Inawezakana dereva kapata dhamana na akahukumiwa au kesi inaendelea.Ni hii inategemea na kosa ni la nani, la dereva wa mama mbatia au dereva wa lori.

Mwisho ningependa tu kukujulisha kwa faida yako kama una tatizo kama hili la kujua kesi inayomuhusisha mtu mzito,unaweza wasiliana na msemaji mkuu wa polisi hata kwa email wanakupa maendeleo ya kesi halafu unaweza kupost ulichopata lakini posting yako haina uhakika hata wa kesi ipo hatua gani,nani mtuhumiwa n.k

Asante sana kwa muda wako

My Take:
Next time, kitu kama hiki ambacho hakina usiri wowote unakipost hadharani.

My response:

Ndugu uliyemwandikia Mwanakijiji, hili ni jamvi huru maswali yaliyoulizwa kama una majibu yake basi mwelezee tu mwanakijiji.

Kweli sio first degree murder lakini habari ya huyo dereva mbona imekuwa siri sana? tuambie yupo wapi. Kama hujui basi ni bora kukaa kimya kama sisi wengine.

Kama kesi inaendelea na unajua basi ni kutufahamisha tu humu jamvini kisha tunatulia.

Unaposema INAWEZEKANA IKAWA.... ndivyo mwanakijiji naye anavyosema INAWEZEKANA DEREVA KATOWEKA KTK MAZINGIRA YANAYOTATAINISHA

Kwa ufupi wewe na mwanakijiji mnazungumzia suala moja na wote hamna uhakika.

Tatizo lako nini?

FP
 
Nadhani huku ndiko tulikoanzia.

Ilitokea ajali, then hii mada, halafu ile ya kufuatilia what happened to the drive. Nimeitafuta huku ili kufill gap fulani ambayo ilikuwa inaonekana hasa kwa wale wasiokumbuka au hawakuwepo kujua kiini cha ile mada nyingine ya "excuse me sire". MaMod mkiona inafaa ziunganishwe au vyovyote vile.
 
My response:

Ndugu uliyemwandikia Mwanakijiji, hili ni jamvi huru maswali yaliyoulizwa kama una majibu yake basi mwelezee tu mwanakijiji.

Kwa ufupi wewe na mwanakijiji mnazungumzia suala moja na wote hamna uhakika.

Tatizo lako nini?

FP
Tatizo lake ni kwa nini Mwanakijiji ameuliza swali linalowakera!!?? Yuko wapi yule dereva?
 
Tafadhali someni ile mada ya "Zitto, Sumaye waponea Chupuchupu" ili kujua msingi wa swali langu la "excuse me sire"....
 
Mi nimesoma, sielewi tatizo la watu bongo. wanataka tuwe na utii wa kitumwa, ukiuliza basi wewe mmbaya.

Why? This has to stop!
 
Na hatutanyamaza mpaka watupe jibu lake, na inakuwaje ajali hizi mbili madereva waliozisababisha watoke bila hata michubuko na inakuwaje waliokuwa nao ndiyo pekee wafe.Kama kwenye ajali ya Salome utingo wa gari lililosababisha ajali ndiye aliyekufa,lakini dereva wake kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa Iringa Advocate Nyombi "alitoroka au aliondolewa eneo la ajali". lakini kwa nini?
 
Dereva yupo hukooooooooo vijiji vya ndani ndani Njombe ana gema ulanzi tu saizi.....anasubili msahau kisha yeye arudi uraiani kama kawaida...
 
Back
Top Bottom