Aliyepo Mpanda Katavi naomba anijuze moja na mbili za mkoa huu

Mkuu nenda Mpanda,sie tupo Sumbawanga huku lakini Mpanda imechangamka sana........Kingine ipo karibu Dom,Tabora,Mwanza na Shinyanga pia hapo kuna Machimbo ya dhahabu
 
Haha mkuu unaonekana mkongwe sana mpanda.
Aah kila mahal nch hii panafanana utofait ni mdog.ila mpanda hela mzunguko wkat wa msimu ipo na vyakul sio bei
Watu wana biashar zao.em kina madema hao mbona wanavuma hakuna sehem ambayo itakua mbaya kabisa labda vijijin ila kwa makao makuu ya wilaya au mikoa
 
Back
Top Bottom