Aliyepiga picha chafu kumbe "kigogo" wa Wizara

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Kigogo.jpg

Katika Gazeti Pendwa la Ijumaa toleo namba 679 lilinasa picha za mwanama mmoja ambaye jina lake lilidaiwa kuwa ni Tuma ambaye inasemekana kuwa ni mtoto wa kigogo akiwa amepiga picha chafu na njemba moja ambaye hakujulikana anafanya kazi wapi, sasa majibu yamepatikana.

Ukitaka picha zaidi bonyeza hapa Aliyepiga picha chafu kumbe kigogo wa Wizara - Global Publishers
 
Eeeeewwwww! Angalau hata wangekuwa na miili ya kutizamika!

Pole kwa mke wake
 
Binafsi naona Wakumpa pole ni huyo dada.
Hilo neno kigogo limemekwa kuuza gazeti ndo maana yanaitwa magazei ya udaku. habari ni ya kweli lakini wanakuza mambo. Au mimi ndo sijui kiswahili.?

Sababu ni mambo private huyo dereva hawezi hata kufukuzwa kazi. Pigo kubwa analoweza kupata ni kuhamishiwa Kasulu na mkewe kumpa talaka. teh teh teh . Wanawake nao wapewe haki ya kutoa talaka.
 
Mimi naona huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ina maana mmoja (most likely mwanamme) amemetegeshea mwenzake, au wameshindwa kulipia dau waliloambiwa ili wasitolewe kwenye magazeti.

Jee Tanzania bila ya ukimwi inawezekana?
 
What is news here ? I mean huyu jamaa - assuming ndiye huyo "kigogo" alishawahi kuwaambia Watanzania katika kiapo cha kazi kwamba hawezi ku cheat ? Kuna perjury aliyoifanya ? Huyo msichana ni underage ?

Mambo anayofanya mwanandoa kuhusu ubazazi ni kati yake yeye na mke wake, sasa wakija na upuuzi kama huu kwenye magazeti they better have something far and beyond ubazazi wa ku cheat, kwa sababu hiyo si news na wala hai warrant publication, labda waseme hawana cha kuandika, wanataka blackmail, wana vendetta au upuuzi mwingine kama huo.

Hivi Tanzania kuna stories ngapi muhimu za ku cover wao wakaenda ku focus kwa huyu "kigogo" asiye lolote ?
 
tuahitaji mjadala mpana kuhusiana na hizi kashfa za yanayojiita magazeti ya udaku kupitia waandishi wao akina mnally na wengineo GPL kwasababu BLACK MAIL business inakuja kwa kasi sana tanzania wanakupiga picha then wanataka fedha na zaidi ya yote inaondoa haki ya faragha (privacy) kwa watu, inasikitisha sana udaku wa namna hii kuingilia uhuru wa watu.
 
hii ni kweli tena kweli sana........waandishi kutumia kalamu zao na zana zao kutaka pesa isiyo halali kwao......my take.......UKIONA KWENYE GAZETI KUNA HABARI YA MTU BINAFSI TAMBUA KUWA MTU HUYO AMEKATAA TOA CHOCHOTE KWA MWANDISHI NA PIA MWANDISHI ANA CHUKI BINAFSI NAYE.....!
 
What is news here ? I mean huyu jamaa - assuming ndiye huyo "kigogo" alishawahi kuwaambia Watanzania katika kiapo cha kazi kwamba hawezi ku cheat ? Kuna perjury aliyoifanya ? Huyo msichana ni underage ?

Mambo anayofanya mwanandoa kuhusu ubazazi ni kati yake yeye na mke wake, sasa wakija na upuuzi kama huu kwenye magazeti they better have something far and beyond ubazazi wa ku cheat, kwa sababu hiyo si news na wala hai warrant publication, labda waseme hawana cha kuandika, wanataka blackmail, wana vendetta au upuuzi mwingine kama huo.

Hivi Tanzania kuna stories ngapi muhimu za ku cover wao wakaenda ku focus kwa huyu "kigogo" asiye lolote ?

Ndugu yangu...Watanzania wengi wanayapenda haya matbloids...ndio maana yanauzwa sana kwa sababu ya habari kama hizi....madhara ya ukoloni maana hata waingereza wanayapenda matabloid yao...THE SUN etc
 
sasa naoa nao wameanza kujitokeza kwenye mambo ya kipuuzi, kwani unanufaika nn sas kwa kupiga picha za utupu. huo ni upumbavu tu,ndio zamani watu hawakuwa hata na nguo,lkn haiuwa shida maana jamii nayo ilikuwa bado haijaelimika lkn kwa sasa unatuonyesha ni jinsi gani usivyo na busara.
 
Hivi madereva nao ni vigogo siku hizi??

Ndiyo, ni vigogo.

Angalia tafsiri ya Kigogo/vigogo hapa chini:

............. " ni mtu yeyote aliyebobea kwenye jambo fulani".

Tafsiri hii aliwahi itoa Mh. Augustine Lyatonga Mrema (MB),huko Bungeni, wakati ule akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu. Ilikuwa ni baada ya kukamata Dhahabu iliyokuwa ikisafirishwa na kigogo mmoja kupitia KIA.
 
Back
Top Bottom