Aliyenitoroka amerudi na mimba

Aliyenitoroka amerudi na mimba

ushauri sio kwamba nataka kurudiana nae, ila nataka nipate ushauri kuhusu vitu vyangu je nimfungulie mashtaka au nikaushe tu.

Mkuu!! Kwanini ulienda kupima??
Hadi sasa huyo Mwizi wako yuko wapi?!!
 
"Mbona yako ni Madogo,
Yalonkuta huwezi niamini,
Mbaka leo naishi hai.....!

Peter Msechu katika kiwango chake bora kabisa!
 
Ukimrudisha usijeshangaa badae anakwambia mimba/mtoto si wako
 
Kweli kabisa miss chagga,

Hivi unaweza kuanzia wapi kuongea na mtu kama huyo na kujiuliza cha kufanya?

Anyway, tunatofautiana sana. Sikutegemea kabisa kama mtu anaweza kuwa na cha kufanya na mtu wa namna hiyo endapo alijitorokea mwenyewe!! Tena huko alikoenda akajilia maraha na kujipatia mavuno!

Hata hivyo naona vijana wa siku hizi wana jinsi yao kuishi!
siku hizi vijana hawajielewi
 
Mwache aende alipokuwa maana ndipo kwenye faida,si unaona kuwa kaja na mzigo kitu ambacho kwako hakikuwezekana?
 
ushauri sio kwamba nataka kurudiana nae, ila nataka nipate ushauri kuhusu vitu vyangu je nimfungulie mashtaka au nikaushe tu.

hizo siku zote ulizokaa hujamfungulia mashatka sa iweje leo ndio ukamfungulie ulishapotezea from the first day acha ibak hvyo hvyo anza upya na maisha yako? Halaf inaonekana mnakaa peke yenu kisiwani coz haiwezekan mtu aje abebe vyombo nyumba nzima na majiran wenu wamekaa kimya tu (mwambie mkeo wa zaman siku nyengne aache utetez wa kitoto kama kwel)
 
sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom