B DOZEN B52
Member
- Apr 22, 2014
- 28
- 1
Aliye nikataa karudi kwa mbwembwe na vizawadi vya kishenz baada ya kuniona B DOZEN B52 mambo yangu safii . Sijui nimuweke wapi wana MMU maana hata kwa buti ya gari hawez kaaa.. hebu nisidien
Aliye nikataa karudi kwa mbwembwe na vizawadi vya kishenz baada ya kuniona B DOZEN B52 mambo yangu safii . Sijui nimuweke wapi wana MMU maana hata kwa buti ya gari hawez kaaa.. hebu nisidien
nipe namba yake please!
heshima ni kitu adhimu hata kwa waliokutenda. Ongea naye kistaarabu kwamba kwa sasa huwezi kuwa naye tena.
hahahaha mlete huku nimuweke storeAliye nikataa karudi kwa mbwembwe na vizawadi vya kishenz baada ya kuniona B DOZEN B52 mambo yangu safii . Sijui nimuweke wapi wana MMU maana hata kwa buti ya gari hawez kaaa.. hebu nisidien