B DOZEN B52
Member
- Apr 22, 2014
- 28
- 1
- Thread starter
- #21
Ulinikataa mie maskini, ukenda na vishindo kwa shuga dadi, sasa amepata manyanga nyengine, unkula huu
Ulinikataa mie sina nyumba, ukenda na vishindo kwa shuga dadi, sasa wanifuatia fuatia nini, unkula huu
Ulinikataa mie ni fukara, ukenda na vishindo kwa shuga dadi, sasa kapata ndogo ndogo nyengine, unkula huu
Ulinikataa mie sina nyumba, ukenda kwa vishindo kwa shuga dadi, nikome tena unikome kabisa, unkula huu
Unkula huu dada na hasara juu!
Haya mashair yamenibamba kinomanoma. Siku hz unatunga nyimbo