Aliyemuelewa masoud kipanya tafadhali

Aliyemuelewa masoud kipanya tafadhali

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,567
Reaction score
8,327
Siasa katika draft
Screenshot_2019-04-09-18-10-24.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imetamalaki
Mpaka Hakuna haja ya kuharibu pesa 2020 kununua karatasi Za kupigia kura
 
Ukiwa ni mchezaji mzuri wa Draft kitu cha kwanza utataka kujua nani amekaa wapi anaelekea wapi?
 
Inategemea nani anacheza mkuu.Kama ni zamu ya C.C.M kucheza A.C.T hawana pa kucheza,maana yake wamekwisha habari yao.Kama ni A.C.T basi C.CM watabangaiza kidogo.
 
Mods wenyewe hawajaelewa kitu ndo maana wamehamishia post jukwaa la mapichapicha, wameona tu draft na kete zake wakat hii ni habari za siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo zambarau anaila hiyo King ya kijani kisha yeye anaingia King, baada ya hapo anaweka mtego kwenye hii kete ya kule kushoto kwa kumsogezea hii kete ya zambarau ya huku nyuma ili ale halafu analiwa na King ya zambarau tena hivyo kijani atabaki na King moja huku Zambarau akiwa na King pamoja na kete moja, nani anasema draw hapo?
Kijani hana chake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoma droo. Ccm anamla act dabo lakini act anapenya king. Kete tatu hawazi shinda gemu. Ndio kusema policcm wamezuia maandamano ya act lakini ujumbe qa act umefika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo itategemeana na ni zamu ya nani anacheza. Kama mi zamu ya ccm Akicheza ccm anashinda hilo gemu
 
Back
Top Bottom