ubarikiwe thamadheo ndiyo ilivyo zote ni kodi za wananchi ukiwemo na wewe. Cha msingi ni kujenga hoja ikakubalika. wapo wawaziri ambao walishindwa kujenga hoja na wakapata miradi kwa wananchi wa jimbo lake hivyo Lukuvi apongezwe kwa ujenga hoja kwa ajili ya jimbo lake. Maendeleo kila mtu anatakiwa ajitafutie mwenyewe baada ya kutatiwa fursa kama barabara nk