Wenyewe wanahukumu hapa hapa duniani kumrahisishia kazi allahAombewe dua ili iweje? Yaani kuna watu hawajui kusamehe.
Mbona Sioni Utapeli Hapo??Tapeli maarufu ambaye ameutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kutapeli kwenye misikiti mbalimbali kwa minajili ya kufuturisha sasa anaandaliwa dua maalum kwa mujibu wa Imam wa Msikiti mmoja huko Temeke DSM aliyekua akihojiwa na Clouds nami kumsikia LIVE
Tapeli huyo alifika kwa imamu akiwa na toyo na kumwambia amekuja hapo kwa nia ya kufuturisha na akamwomba wanawake wawili wa kupika, alipoondoka nao kama anakwenda sokoni akawapiga simu kisha kurudi kwa imamu naye akampiga simu kwa kumwambia anataka aongee na mtu wa kumtumia fedha na kutokomea nayo kumbe alimfuata wa toyo na kumtapeli pia simu yake.
Yasemekana ameshafanya hivi huko Mbagala na kwingineko
Vipi wale wanaopondwa na vitofali kisha kuchomwa moto huko mitaani?Aombewe dua ili iweje? Yaani kuna watu hawajui kusamehe.
Kwa hiyo hata huko mitaani wale wezi mnaowachoma moto kwa kujichukulia sheria mkononi nao mtawasamehe?Huu si ni mwezi wa toba na kusamehe?
Hao wanaoua vibaka mtaani sio viongozi wa dini, kwa hiyo lolote wanalofanya halihusiani na mafundisho yoyote. Kumbuka ile kauli niliyoizungumzia imetoka kwa Imamu wa msikiti ambaye anaongoza waumini kadhaa katika swala zao, hivyo atakalolifanya tena msikitini halina shaka yoyote kuwa ni kwa mujibu wa mafundisho ya imani yakeComment yako imejaa mihemko na chuki zaidi kwa dini fulani,kwa hiyo wale wanaoua vibaka mitaani au wazinzi walioshikwa na wake za watu wao hua wanamrahishia kazi nani?
Kwa hiyo hata huko mitaani wale wezi mnaowachoma moto kwa kujichukulia sheria mkononi nao mtawasamehe?