THE GREAT CAMP JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 765 Reaction score 194 Aug 18, 2013 #61 DOUGLAS SALLU said: Mkuu kwani hujamuona Mrema alivyo sasa hivi? Ile kubabuka uso unafikiri ni mkorogo? Chezea itikafu weye!! Click to expand... Kumbe hizo ni nguvu za majini na wachawi................Sasa nimejua watu wanaamini vitu gani kwenye imani zao.
DOUGLAS SALLU said: Mkuu kwani hujamuona Mrema alivyo sasa hivi? Ile kubabuka uso unafikiri ni mkorogo? Chezea itikafu weye!! Click to expand... Kumbe hizo ni nguvu za majini na wachawi................Sasa nimejua watu wanaamini vitu gani kwenye imani zao.
G gogo la shamba JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 6,669 Reaction score 2,165 Aug 18, 2013 #62 Arch. Moses said: ........... hapa anazungziwa ponda issa ponda na sio mwangosi we vipi.......... Click to expand... kwa hiyo Ponda alikuwa ameukumiwa kupigwa risasi?
Arch. Moses said: ........... hapa anazungziwa ponda issa ponda na sio mwangosi we vipi.......... Click to expand... kwa hiyo Ponda alikuwa ameukumiwa kupigwa risasi?
N Nguto JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,668 Reaction score 1,798 Aug 18, 2013 #63 Kwani wamekubali kama walimpiga risasi? NASUBIRI said: Jina: Inspekta benedikti george kabila: Mkurya kituo cha kazi: Morogoro mjini. Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi Click to expand...
Kwani wamekubali kama walimpiga risasi? NASUBIRI said: Jina: Inspekta benedikti george kabila: Mkurya kituo cha kazi: Morogoro mjini. Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi Click to expand...
Bubu Msemaovyo Platinum Member Joined May 9, 2007 Posts 4,189 Reaction score 3,550 Aug 19, 2013 #64 Hisia au una hasira naye?