Bado kuna mambo mengi ya kuuliza na kujibu, kuifanya hii kitu iwe ukweli!
Je ni kweli kuna askari mwenye jina hilo hapo? Kituo gani? Namba yake? Cheo chake? Alikuwa zamu siku hiyo? Yuko wapi sasa? Kwa sababu kuna taarifa ziliwekwa hapa na kwenye baadhi ya magazeti yetu kuwa kuna mtu anashikiliwa na polisi kwa issue hii.