Aliyekwisha pata mpenzi humu jf atujuze

Wanapatikana sana tuu.Mm nishampata na next yr naweza nikaoa kabisa.
 
binafsi niliwahi kupata lakini sio kwenye JF - ni mtandao mwingine kabisa; kimwana alisafiri toka Zanzibar akaja hadi Rocky city kwa ndugu zake, akanipigia cm tukapanga tuonane wapi. Tuliburudika vya kutosha - enzi zile bado Royal Pub inawika.

Hivyo msikate tamaa mnaotafuta marafiki hapa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom