Tetesi: Aliyekuwa Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu adaiwa kuzuiliwa Horohoro kuvuka kwenda Kenya

Tetesi: Aliyekuwa Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu adaiwa kuzuiliwa Horohoro kuvuka kwenda Kenya

Status
Not open for further replies.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli

Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.

Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.

Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.

Haya kazi kwenu mtachagua sasa msije shangaa mpaka aliyempigania kikatiba mstaafu CDF naye kafanywa kama wengine.
 
🤔 mbona tuna Anza KUOGOPA.

"Watch people, support the real, trust nobody and fear is stronger than love"

quoted from 2pac Omar Shakur.
 
Huo ndo utaratibu wa CCM haijalishi wewe ni nani wakimaliza kukutumia na ukawa hauna athari chanya na hasi wanakutupa n.k

The same what happened kwa yule Dada wa kugalagala mpaka kapata BP.

ODDO alikuwa bingwa wa kupika Data Kama yule anayegawa Maji kanda ya pwani
 
Weso waganga mia..

Bashite yupo kimya
Msimuone mjinga naenda kwao kolomije
 
Hawa watu wenye UPEO mdogo wa kufikiri form four failure akitumwa na boss wake hata Kama jambo alibidi alifanye kwa usahihi ataishia kuharibu

Mfano umeona ile 29/10 Kama wangekuwa na reasoning wasingewafata watu majumbani na kuwaua .

Wao wange-deal na barabarani kwa kutumia risasi za juu , tear gas na maji.

Madhara yangetokea Ila yasingekuwa makubwa Kama hivi.

Yote haya yanachangiwa na kuweka watu waliofeli sehemu nyeti .
 
Manyokozenu,naona mbulula zinazidi kujaa na kushangilia upupu
Muda sio mrefu mliletewa upupu na yule maria mkusanya nyumbu kuhusu waziri wa zamani kutekwa na kuteswa kigamboni, hilo taputapu mbona limepotea kiaina, hebu mnitagi kwenye huo uzi
Sasa mmeamua kuja na chai ya rangi
 
ndo shida ya kula nyama ya mtu mkikosa mnatafunana wenyewe kwa wenyewe by baba wa taifa
 
Wacha wauane....
Laana ya damu za raia wenzetu waliouwawa ZAWATAFUNA!
 
Hawa watu wenye UPEO mdogo wa kufikiri form four failure akitumwa na boss wake hata Kama jambo alibidi alifanye kwa usahihi ataishia kuharibu

Mfano umeona ile 29/10 Kama wangekuwa na reasoning wasingewafata watu majumbani na kuwaua .

Wao wange-deal na barabarani kwa kutumia risasi za juu , tear gas na maji.

Madhara yangetokea Ila yasingekuwa makubwa Kama hivi.

Yote haya yanachangiwa na kuweka watu waliofeli sehemu nyeti .
Sure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom