Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Huyo sio mtu, jiulize mpo wa ngapi kwa mtindo huo? na ameolewa.
Sijui mna mioyo gani mm nikishamalizana na mtu bila amani ndio kwa heri.

Halaf usitembee na mke wa mtu utaishia pabaya sana haijalish mlikua wapenzi huyo ni mali ya mtu sasa.
Ushauri wako ni mzuri sana, ila mke aliyekuacha kwa mbwembwe akaenda kuolewa huko akitaka mpe kidogo tu halafu mwambie hutaki tena kwasababu tayari wewe ni mume wa mtu.
 
Mkuu kuna mambo kamis huko alikoenda ndio maana karudi kwako! ingelikua anapata yote basi usingemsikia akikurudia.
Huyo hakupendi ila imebidi tu arudi kwako...

Ni dhambi kumfanyia hivyo mwanaume mwenzako "mumewe" chukulia hili swala kama ww mkeo anafanya hayo mambo mkuu utajiskiaje?
 
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Kwahy unajiona mjanj we wakt mzinifu?
 
Mkuu kuna mambo kamis huko alikoenda ndio maana karudi kwako! ingelikua anapata yote basi usingemsikia akikurudia.
Huyo hakupendi ila imebidi tu arudi kwako...

Ni dhambi kumfanyia hivyo mwanaume mwenzako "mumewe" chukulia hili swala kama ww mkeo anafanya hayo mambo mkuu utajiskiaje?
Ni ungwana kukiri makosa
 
Akipata ujauzito mkuu usitimue vumbi uwe tayari kulea mimba na kiumbe mtarajiwa.

Back
Top Bottom