Na hata uliye nae ni mchepuko wa mtu pia.
Hapa ndo namkumbuka Mzee wa MsogaWako pia ni mchepuko wa mwingine
Ushauri wako ni mzuri sana, isipokuwa niliona nipunguze machungu baada ya kugundua kwamba mume wake wa sasa alikuwa mchepuko wake alipokuwa mke wanguMwanaume ni kusimamia maamuzi. Mkiachana / Kutengana mheshimiane. Kwani hamuwezi kuachana na mkawa marafiki bila kuleta mapenzi katikati?!
Na mara nyingi anguko linakuja pale mwanaume unaposhindwa kujiheshimu na kulinda msimamo wako. Wewe nfio kichwa simama imara..
Hahah!! NiceeNi mali ya aliyekuwa akiniibia,sasa zamu yake kuibiwa
hahhaaaaaaa wakikua watabadilika washaalibika hao wakuaje tenaMkikua mtabadilika
hivi wewe unalijua litumbua linavo nogaga wewe???Mwenyewe unajiona kidume hapo huoni Hugo dem anakutumia kama kondom ng'astuka .....dawa yake ilikua kumsemea kwa men wake aonje joto. ...we mke anakuacha then baadae anaitaman dushe unaona sifa....hizo sio tabia za mwanaume
Kacheki movie IT'S COMPLICATED...Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
mzalishe tena na tena jamaa lileeeMimi mwanamke nilye zaa naye ameolewa sasa kila mala anataka tumkuze mwanetu
Daaaa mambo magumuhivi wewe unalijua litumbua linavo nogaga wewe???
Halina cha jiwe wala samia
Tafakali mpaka ntu mwenye ndevu anatoa chozi au bado mtoto wewe?
Kwanza ukiliona tu full mzuka unatamani lirudi wewe temea mate chini!!!