Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Mwenyewe unajiona kidume hapo huoni Hugo dem anakutumia kama kondom ng'astuka .....dawa yake ilikua kumsemea kwa men wake aonje joto. ...we mke anakuacha then baadae anaitaman dushe unaona sifa....hizo sio tabia za mwanaume
Kweli aisee
 
Kuna mambo nikiwazaga nafikiria nisioe kabisa
Muombe mungu akupe mke MWema!
Mengineyo yatokanayo tuu!
Kama sio mzinzi utapata asie mzinzi!
Uaikatishwe tamaa na majaribu!
Sawa na kuona ajali ukasema sitapamda GARI tena!
 
Muombe mungu akupe mke MWema!
Mengineyo yatokanayo tuu!
Kama sio mzinzi utapata asie mzinzi!
Uaikatishwe tamaa na majaribu!
Sawa na kuona ajali ukasema sitapamda GARI tena!
Asilimia kubwa ya walio na wake hakuna amani ama kuhusu mambo ya kawaida tu au kuhusu michepuko
Sasa hii inakatisha tamaa sana mkuu na kuwapata hao waliotulia ni bahati tu
 
[emoji23] [emoji1] mtoa mada acha uongo me si jirani yako....najua ukweli wote.
 
Huyo sio mtu, jiulize mpo wa ngapi kwa mtindo huo? na ameolewa.
Sijui mna mioyo gani mm nikishamalizana na mtu bila amani ndio kwa heri.

Halaf usitembee na mke wa mtu utaishia pabaya sana haijalish mlikua wapenzi huyo ni mali ya mtu sasa.
 
Back
Top Bottom