Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Yaani mkuu unajisifu kabisa. Huoni kuwa huyo mwanamke amekudharau sana. Kwanza amekumwaga akiwa mkeo wa ndoa, halafu sasa anarudi umtie tu. Grow some balls playa. Lazima ujiheshimu uwe na mipaka. Huwezi kuwa mdhaifu na kukosa misimamo kiasi hicho. Wanawake wamejaa kote wewe unahangaika na msaliti mmoja. Man up negro.
 
Ushauri wako ni mzuri sana, ila namimi nakushauri usije ukaoa mwanamke aliyeachika ukitegemea atakuwa wako peke yako.
 
Chunga jicho kuguswa, mtu tajiri ni sawa na mtu mwenye mamlaka ya kidola, anaweza kukufanya chochote na maisha yakaharibika au kuisha kbs kwa upande wako. Wanawake wote hawa wametapakaa kama mifuko mieusi unachukua mke wa mtu?
 
Mkuki kwa nguruwe, ukijua huyu alikuwa mke wa mtu usioe.
 
Huku usenge wakula wake za watu ngoja tu..

Mijitu hata aibu hamuoni
 
Watu mna mioyo migumu. mm mambo yakiisha ndo bye bye... inabakia historia tu
 
Mle tu si kaja mwenyewe hakuna namna hata mimi na mpango wa kumla mke wa mtu wiki kadhaa zijazo!
 
Akijipendekeza mpe tu
Wanasema asilimia kubwa ya maambukizi ya ukimwi yanatokana na watu kurudia wapenzi wao wa zamani!

We mtu umeachana nae miaka kibao humo mnakutana hata hampimani afya unazani matokeo yake nn?
Think twice!
 
Back
Top Bottom