Aliyekuwa mke wangu sasa ni mchepuko wangu

Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Unajichanganya sana bro, ww hujawahi kumuoa huyo unayemwita mchepuko. Labda mm tu ndo sijakuelewa. Ungesema aliyemua mpenzi wako ss amekua mchepuko labda italeta maana
 
Alikuwa mke wangu akaniacha na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine, bado yuko na huyo mume wake ila na mimi.......
 
Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Mwaka haujaisha
 
Back
Top Bottom