God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
sawa ila mke wa mtu?Ni ungwana kukiri makosa
sawa ila mke wa mtu?Ni ungwana kukiri makosa
Usipende shari na visasi vitakujaza upweke na mzigo moyoni...Ndio ila nahisi na yeye alikuwa anamtafuna alipokuwa kwangu.
Heshimu ndoa za wengine. Hiyo tabia sio nzuriAlinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Ana sababu moja tu, anataka kuhakikisha dyudyu lako halifanyi kazi kwa wanawake wengine isipokuwa yeye tu.!!!! Akisha fanikisha hilo ananza kukuendesha kama roboti. Subiri uone, ni swala la muda tu.Alinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Cna jinsi yakuelezea mapenzi yalivyo kwa sasa, but in short MAPENZI USENGE MTUPUU[emoji17] [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh hiyo kali mkuuAlinipiga chini miaka kadhaa iliyopita,mwaka mmoja baadae nikasikia ameolewa, kwa mara ya kwanza baada ya kuachana tumeonana mwaka mwezi uliopita, ndipo nikaamini ule msemo "WAPENZI HUWA HAWAACHANI "amekubali kuwa mchepuko wangu,ukioa aliyekuwa mke wa mtu tarajia haya Kwa 99.9%.
Aise kufwenda?Cna jinsi yakuelezea mapenzi yalivyo kwa sasa, but in short MAPENZI USENGE MTUPUU[emoji17] [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha uoga mkuuDuuuhhhhh mnanitisha sana nichelewe kuoa ...saizi nawatoto wawili mama tofauti.
As long as alikuta akiwa usedWako pia ni mchepuko wa mwingine
Daaahh mkuu kwa mambo km hayo unategemea nn !?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha uoga mkuu
Laana sipendi