Aliyekuwa mgombea ubunge Igunga kupitia CUF ajiondoa chamani

kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.

Huyo kiongozi ni nabihi au ni kama Sheikh Yahya?kama ni mtabiri basi yeyote hata mimi naweza kutoa kauli kama yake,lakini ukisimama kwenye reality Cuf inameguka,hata N.c.c.r ya Mrema ilianza hv
 
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar
tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.

hapo kwenye rangi ya hudhurungi nilipo Bold, naona unaufagilia muungano wakati siku zote ulikuwa unauponda, kipi kimekusibu???
 
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.

Awali lengo la CUF si lilikuwa kuchukua dola... hili la kuungana lilikujaje?
 
haka kachama CUF bana kwisha habari yake, ila nimependa namna Mtatiro alivyotumika kuiua CUF , na bado hawajashtuka tu, jamaa anaendelea kula perdiem dah,

Mtanga: ka kafu kanakufa bwana. Kachama kamugua kaugonjwa ka kansa bwana.
 
Tunaomba kauli ya Mtatiro humu maana huwa anakuja kujibu haja tata kama hizi.
 
Pamoja na kuwa mimi si mwana cuf sifurahii sana kifo hiki waangalie walipojikwaa warudi kwenye fomu ileee ya ngangari na ngunguri
 
Mpasuko ndani ya CUF si kitu cha kufurahia hata kidogo!!Hili liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa,mambo ya utawala kuongozwa na watu fulani (wa aina fulani) tu kwa muda mrefu mwisho wake ndiyo huwa huu!!Tusiishie kuikebehi CAFU kwa kifo chake bali tujifunze na tuchukue hatua kuzuia jambo hili lisitoke kwenye vyama vyetu!!Vyama vingi vya siasa naona katika suala la uongozi karibia kila chama kuna vuguvugu sasa kabla halijaripuka tuchukue hatua haraka vinginevyo wahenga wanasema"Mwenzako akinyolewa zako tia maji".
 
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.
Zanzibar ni koloni letu....RIP CUF
Ooooo! chama- chama gani?,chama cha wananchi Cuf X 2
Ooooo! chama- chama gani?,chama cha wananchi Cuf X 2

Haa! hilo song hapa linanikumbusha mbali sana!....RIP CUF
 
KWA UFASAHA ZAIDI:
Aliyekuwa mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF uchaguzi mdogo jimbo la Igunga Sept.2011 Mhe. Mahona leo hii pamoja na waliokuwa wagombea Udiwani wilaya ya Ilala na Kiongozi Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi maarufu kama Blue Guard Mhe. Wandwi wamejitoa rasmi katika chama hicho kwa kile kinachoaminika ni muendelezo wa wanachama wa CUF kutimka baada ya kuchoshwa na siasa za majitaka kutoka kwa viongozi wao.
Inaaminika wanachama hao walojitoa moja kwa moja watajiunga na chama kipya kilichoomba usajili wa muda majuzi tu cha ADC.
Kwa habari zaidi tupia jicho star tv jioni ya leo kwny taarifa ya habari.
Naomba kuwasilisha.
Ooooo! chama - chama gani,? chama cha wananchi CUF!X2
Ooooo! chama - chama gani,? chama cha wananchi CUF!X2

Mapanga shaa shaaa!!! - RIP CF
 
Dah! Yani cuf wamepigwa kama za Gadafi vilee....sema pinduliwa yao ni ya kisayansi zaidi. Duh!
 
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.

Kweli wewe "MMBISHI"
 
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.[kwl wee kilaza,haoni basi hata kusikia nako tatizo kwako? fungua akili kijana!!!]
 
Back
Top Bottom