Naamini sio yeye ingawa wanweza wakwa ndugu.Aliyekuwa Tanga mara ya mwisho nilimuona kiwa World Bank mtaa wa Mirambo.Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
ikivembo kilikwii??Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
Watu wengine bhana. mi nilijua kitu cha current ili uchaguzi ufanyike tuchukue jimbo kumbe zilipendwa. R.I.P. Gamba
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
Mmbangifingi na Wana JF,
Poleni sana Wafiwa, Kazi ya Mungu haina Makosa, Tumshukuru Mungu kwa kila Jambo,
Bwana alitoa, na bwana ametwaa, na Jina la Bwana na lihimidiwe,
RIP Benito Malangalila.
Nawakilisha.
Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey
Huyu ndiye Dr. Malangalila siyo? nadhani namkumbuka akiwa Tanga miaka ya themanini kama ndiye yeye. Poleni sana wafiwa.. nakumbuka watoto wake kina Humphrey
Pole kwa wafiwa na pole kwa ccm maana M4C inatisha
Pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na familia ya marehemu Benito Malangalila.
Pole kwa wafiwa na pole kwa ccm maana M4C inatisha