zamani Nilikuwa nikisika ile kauli mbiu kuwa "somesha mtoto wa kike ukomboe Taifa" actually sikuwa napata Maana yake kwa mapana zaidi, but mara baada ya uchaguzi uwt ambao wajumbe wake walimchagua yule mama, ingawa wakati wa kunadi sera zake alikuwa hata uwezo wa kujibu maswali ya msingi kama aliyoulizwa na shyrose hakuwa nao zaidi ya kuporomosha matusi na huku akisema wazi kuwa kule bungeni wabunge wa ccm wapo katika kutetea maslahi ya chama na serikali hata kama inafanya madudu na sio maslahi ya wananchi, lakini wanawake wale walimshangilia na kuchagua ***** ule, mwisho wa siku nikakumbuka kuwa zaidi ya 50% ya wapiga kura wa Tz ni wanawake, na hao ndio wanaendelea kuwaummiza waTz walio wengi kwa maamuzi yao cheap ya kudanganywa kwa kanga na wali wakati wa kampeni, pamoja na kwenda kumpigia kura mtu kwasababu ya u handsome wake, baada ya kuchanganya matukio yote haya, ndio nilipata picha halisi ya Hyo slogan, so far huyu mama nae tumuhukumu kwa uanamke wake tu